RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,368
- 134,899
- Thread starter
- #18,921
Safari za group huwa zina raha sana.Next week nina trip kutokea Dar es Salaam, hadi Tabora ( kituo - siku moja). Tabora hadi Mwanza ( kituo siku hazijulikani), baada ya hapo tunarudi Dar es Salaam.. Aina ya gari Toyota Alphard