Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Jana ilikuwa siku nyingine ya kuwatesa waJapan huko barabarani.. Daaah hawa team Japan ukiwaona wanavyongea humu ndani hutaamini kinachowatokea huko barabarani..

Mbele ilitangulia BM nyuma akinifata Merce E Class.. tumewagalagaza mpaka aibu. Kuna mmiliki mmoja wa Vanguard alijifanya kufata nadhani somo alilipata fresh na kama alifika salama nyumbani kwake lazima atafanya maamuzi magumu ya kutoka kwenye usafiri wa Asia na kuamia gari za Mzungu..
 
Mjepu mnamchukulia poa sana..??
Zile limiter ndiyo kikwazo kikubwa....
Kwa mfano chukulia 2GR au VQ35, halafu ziwe limiter imechokonolewa...

Si mchezo...
 
Jana nilikuwa na Crown, nilikuwa mbabe mpaka ilipotokea C class moja,nafikiri ilikuwa C350 au zaidi sio kwa power Ile.
 
Mjepu mnamchukulia poa sana..??
Zile limiter ndiyo kikwazo kikubwa....
Kwa mfano chukulia 2GR au VQ35, halafu ziwe limiter imechokonolewa...

Si mchezo...
Mpaka utoe limiter,otherwise inabidi uwe mnyonge tu. Halafu advantage ingine ya Euro make mtu anaenda 190kph ni kama 60kph ila Japanese ukifika 150kph inaanza kuhisi danger kwahio hata ukitoa limit labda uwe chizi ndio utazidi 180
 
Hahahaha RR utafikiri nilikusoma kabla ya kuwema comment yangu. Mjapan ukifika 150 ni lazima mguu urudi kati unless uwe umeyatoa maisha yako sadaka na bange imetawala kichwani..
 
Back
Top Bottom