Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Unanitamisha, jumapili usiku nikitoka kabisani naweza chapa mwendo hadi singida alafu nauza sura singida nachapa mwendo hadi mwanza kula samaki 😀😀😀Uko sawa sawa kbs mzee mwenzangu, me mara nyingi nimefanya ivyo na nikingurumisha mashine pale sgd saa 1ucku bas 7 ucku nipo hotelin Mwanza.





