Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Alafu ukarudishwa nyumbani na gari ya bi harusi iliyopambwa. Walisemaje nilipokushusha pale?

Nilijitahidi kuendesha taratibu yale maua yasipepee japo uvumilivu ulinishinda baadae

Barabarani walijua nakupeleka harusini

View attachment 1972266
Jini mafuta...alisikika akisema mmiliki mmoja wa Vitz!
 
Mwanamke anahitaji vitu viwili anenepe: chakula kizuri na kupendwa vizuri, apate amani ya moyo. Chagua kimoja nikupatie.

Ninavyo vyote ISO...

Mimi ninahitaji hela tu ili ninenepe,,,na nimenenepa kidogo kulingana na tumiamia ninatopata.

Yaani kwenye chakula utaniandama sana ila msimamo wangu ni uleulenakula kiduchuuu.
 
Ee bana ndio, naona unazijua XV na GT utofauti wake kwenye taa za nyuma.

Sijaona bado 450 mjini. Ila kama watu wanasukuma majesta I'm sure wapo wababe wanaosukuma 450XV/GT
Hahaha mimi huwa siyo mpenzi sana wa sedan ila kuna sedan zingine utazielewa tu bila kupenda! Binafsi kwa upande wa mjep naona Fuga, Crown, Impreza wamejitahidi sana!
 
Kwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.

Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
Kuna zingine hapo hazipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu
Screenshot_20211013-055306.jpg
Screenshot_20211013-055246.jpg
Screenshot_20211013-055221.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20211013-055246.jpg
    Screenshot_20211013-055246.jpg
    37.9 KB · Views: 7
Back
Top Bottom