Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,343
- 2,132
Hahah [emoji23]Nimekumbuka TPDF tulikuwaga tunaimba
Mungu mbariki mwanajeshi
Usimbariki polisi
Anapiga push up kwenye godoro
Sasa ole wao vijana wakaimbe hivyo kule CCP ndiyo watajua hawajui
[emoji445] Sisi push-ups kwenye kokoto
Polisi kwenye godoro
Watawasulubu mbaya, tena wakufunzi wa ccp wanajuaga kabisa kuwa madogo wamepita Jkt hivyo wanadharau polisi