Na unavyopenda sasaEee bwana vitamu vyenyewe ndio ivyo
Umenigeuzia tena kibao kuwa mie ndio napenda 😳😳😳😳Na unavyopenda sasa
watoto wa wajeda 🤭🤭🤭🤭Kweliiii
Sasa mimi siwezi. Kwanza kwata tu la shule muda wa kukimbia nilikuwa najificha chooni.
Utanikuta dodoma nakunywa maji mkuutrip inaanzia dar es salaam

kumbe ww push- up kwenye godoroMsituchukie jamani. Mbona hatuna shida?


Joto limefikia huko😂Huku bado kidogo tutageuka mishikakiView attachment 1969260
Huku usisema yaani unatembea unasikia harufu ya nyama chomaJoto limefikia huko![]()
ISO akilewa utatamani ukae naye muda wote...mcheshiiii.Nampenda bure mimi.Sasa hawa umewaingiza sasa hivi! Wale wengine ndiyo nilikuwa nasema siyo wapole!
Ila hao uliowataja sasa hivi Holy Man naweza nikasema anaonesha kabisa kuwa ni mpole sema kuna muda anajitoaga tu ufahamu humu jukwaani. ISO siwezi msemea sana maana sijamuelewa elewa vizuri bado ila kama ndiyo yuko hivyo ulivyosema basi ni jambo jema.
Geukeni tuwakule.Huku bado kidogo tutageuka mishikakiView attachment 1969260
Waacheni wenzenu 🤣🤣 nyie si mlichelewa kukatwa bogi? Mkaona kuhudumia u service ni bora kuliko kwenda kuvaa kakikumbe ww push- up kwenye godoro![]()
Kyela ni wilaya ya ajabu sana Mbeya..ikaamua kujibebea joto.Huku bado kidogo tutageuka mishikakiView attachment 1969260
Acha madharau D, kwamba karanga ni bora kuliko kaki? Karanga ungekula msoto Sana na ungelikumbuka bogi la kaki.na wanajila kweli.
Mimi nilichomokea six tukaunganisha, ningejila U-service bora ningerudi kwetu tu au nivae karanga milele kuliko kuvaa khaki![]()
Nakuzingua tu "raia mkakamavu"Acha madharau D, kwamba karanga ni bora kuliko kaki? Karanga ungekula msoto Sana na ungelikumbuka bogi la kaki.
WeeSina lengo lolote, nimejaribu kumwambia the really you. Maana anayekujua sio wewe kabisa




Sapoti ya kubambiwa na kukamatwa nyonga kwa nyuma vipiina mchango katika pishi tamu?



Kanipiga beat Kali.Wee
Kweli?
Nihadithie zaidi mwee