Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mlivyo na wivu

Hata mmpewe nini

Bado utataka utamu usitoke nje

Nawaona wanangu waliooa

Nabaki kucheka
Hilo muhimu mkuu.
Yaani mimi yangu usishee na mtu alafu eti unataka yako nishee na Watu..
Ptuuuu!

Labda nisijue,,,
Hata nisipojua lazima Sir God akunyoshe. .

Mwanaume wangu ajiandae kwa hayo..
Aidha atulie,au asubiri Mungu amtandike.
Hilo nishaweka nadhiri na Mungu .
 
Back
Top Bottom