ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,076
- 17,463
Niko nalamba lami sahizi. UniombeeNimetoka kujiboost kiroho.
Kesho twende wote.
Niko nalamba lami sahizi. UniombeeNimetoka kujiboost kiroho.
Kesho twende wote.
Unaenda wapi tena?Niko nalamba lami sahizi. Uniombee
.Nakutamania. Chombo yako naipata makali yake....Niko nalamba lami sahizi. Uniombee
Iko na reputation kwakweli...Nakutamania. Chombo yako naipata makali yake....
Sio hampendi
Kwani Wife material hatupendi Hela?
Utakuja kuomba lift ya kuzimu, shauri yako. Tulia hapo mjini ukate mitaa mpaka uache kupotea potea.Unaenda wapi tena?
Mbona hujanistua ningeomba lift.
Mungu wangu akulinde mno ,Amin.
Masuala ya unakula maisha mtu anakukumbusha kuna kesho hapana.Sio hampendi
Mnajua matumizi yake
Mambo ya ununuzi viwanja, ujenzi na watoto shule
Kufungua na kusimamia miradi, hiyo tu inakufanya uishi miaka hadi uzeeni
Ninaetafuta nataka kuishi leo/kesho kwa ajili ya raha za dunia

Si ndio hapo sasaMasuala ya unakula maisha mtu anakukumbusha kuna kesho hapana.

Utakuja kuomba lift ya kuzimu, shauri yako. Tulia hapo mjini ukate mitaa mpaka uache kupotea potea.

.Masuala ya unakula maisha mtu anakukumbusha kuna kesho hapana.

Familia
Mkuu fainali uzeeni .
Kuna muda ukifika utajikuta una uhitaji wa kuwa na familia na kutulia.
Tusitishane.
Mkuu fainali uzeeni .
Kuna muda ukifika utajikuta una uhitaji wa kuwa na familia na kutulia.
Waifu matirio
Kwahiyo mnatumbua hela zote Leo,kesho watoto wataenda na nini shule?

Hahahahah nimekumiss aisee I wish usingehamishwa pale dah
Kuzimu siendi.
Mimi ni Mbinguni ...
Lift yako siiogopi.
Siku hizi nimeimaster njia moja,,
Nataka nianze nyingine Sasa .
Kwani washawahi kukosa ada?
Kwahiyo mnatumbua hela zote Leo,kesho watoto wataenda na nini shule?
Kwani anao tayariKwani washawahi kukosa ada?

Itoshe kusema