Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ukiwa tayari na foleniikipungua utaniambia.Weekend Leo njia Ina foleni
Ukiwa tayari na foleniikipungua utaniambia.Weekend Leo njia Ina foleni
Nilitaka nichangie maji yajero yale.Mnipemo lift
Nitachangia maji na juisi
Chanika- masantula![]()

Kwani Offshore Seamen anasemaje?
Nataka nimpeleke Uzaramoni huko Nzasa Shule,Mbondole,Mwanadilatu na Samvu la Chole.



Kanisani ukafanye nn weweee




nimeishia kucheka tyuuuh. Kwan kanisani wanafanyaga nn?Same au Mwanga mkuu
Duuh kumbe hii Samvu la Chole ni Jina la eneoNataka nimpeleke Uzaramoni huko Nzasa Shule,Mbondole,Mwanadilatu na Samvu la Chole.
Mabeyo HuyuNzasa ya Mabeo au? Hizo chocho nyingine sizijui![]()
Hapo kama uelekeo wa mamba myamba Same hukoSame au Mwanga mkuu
Sema Tanzania sehemu nyingi sana zinafanana, huko pamekaa kama sehemu fulani hivi nyanda za juu kusini.

Anha OkayHapo kama uelekeo wa mamba myamba Same huko
Mwanga uelekeo wa milimani kuna tarmac na rough road yenye ardhi nyekundu
No. Sio huyu Mabeyo wa TzMabeyo Huyu
wanao maliza wasumbufu, wanaganda kama kupe.. siwatakina wengine wanaoelekea kumalizaa hutak? Uwiiiiih
Same mkuu, barabara ya Mwembe, Mbaga mpaka Ntenga....nilisafiri km 43 za barabara ya vumbi na milima ..Same au Mwanga mkuu
Sema Tanzania sehemu nyingi sana zinafanana, huko pamekaa kama sehemu fulani hivi nyanda za juu kusini.


Oohh SafiSame mkuu, barabara ya Mwembe, Mbaga mpaka Ntenga....nilisafiri km 43 za barabara ya vumbi na milima ..![]()
wanao maliza wasumbufu, wanaganda kama kupe.. siwataki




1St yr kazi wanayo mweeeh. Wanavosubiriwa kwa hamu uwiiiihHii mbona kama naijua kabisa?!!