Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nipo mkuu.

Nasubiri comments ziwe nyingi nimwage likes zangu kama kawaida.


Kumwaga kidogokidogo inachosha mkono.

Sipo kwa sababu sina trip yoyote,, anayetaka kunipa trip ruksa,atanirudisha kwenye uzi kwa Kasi.
Tupige trip isiyochosha Kariakoo-Mbagala-Chamazi-Kwa Mapunda-Kivule-Kitunda-Banana-Gongo la Mboto tunaenda mpaka Chanika Kisha tunarudi mjini.
 
Back
Top Bottom