Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh

Umenikumbusha asee kipindi hiyo nauza barakoa za kike na pambaja zake

Goli langu lilikuwa mkabala na mlango wa kuingia uwanja wa chuo cha ushirika

Jirani na mimi alikuwa fundi viatu, mbele kule biashara ya vyakula

Hakika wale watoto walikuwa balaa, uvaaji wao na hata darasani walikuwa vizuri

Sina hakika mtaa wangu hapo Longuo ulisalimika kiasi gani
Nipo longuo apa napata na mbege swafi!
 
Duh

Umenikumbusha asee kipindi hiyo nauza barakoa za kike na pambaja zake

Goli langu lilikuwa mkabala na mlango wa kuingia uwanja wa chuo cha ushirika

Jirani na mimi alikuwa fundi viatu, mbele kule biashara ya vyakula

Hakika wale watoto walikuwa balaa, uvaaji wao na hata darasani walikuwa vizuri

Sina hakika mtaa wangu hapo Longuo ulisalimika kiasi gani
Ulikuwa Rau au maduka ya chini mkuu.
 
Back
Top Bottom