Mimi nishaandaa mwenyeji. Mzaliwa na mkaaz wa huko. Je, Tanga kunani? Fuatana nami kujuaAlhamis/Ijumaa nitakuwa hapo
Nitapenda kuthibitisha pia![]()


Mimi nishaandaa mwenyeji. Mzaliwa na mkaaz wa huko. Je, Tanga kunani? Fuatana nami kujua![]()


Pistoni sita zikiwa zinapishana in perfect balanceYeah ili niisikie vizuri sound ya beams2000!
Na haya ndio maisha yao. Wakute wanapanda huo mlima sasa!! Ng'ombe zinamwaga mpka udenda kwa shughuli nzitoUkiwa Hanang ukianza ile logia (low gear)
Kuna mchepuko kulia unaelekea mitaa hiyo ya bonde la ufa
Ndio Bashnet![]()
Malawi MojaKaribu hukuView attachment 1947696
Ndio ndioMalawi Moja
Shoppers Dodoma
Nililala Singida, nikafanya mambo yangu, nikapaa shwaaa arusha.. then huyo dodoma nikapumzika then huyo Dar es salaam

. Two lane expressway. Anyway yote maisha. Asante Traffic Revenue Authority kwa kunipa control number nichangie mapato ya serikali. Ila traffic wanawake wana shida flani...