Duh hapa ni Bongo?Napenda sana kumuona dereva anavyoendesha.
Najisikia raha,hapo tukipiga stori mbili tatu basi route inakuwa fupi hata kama kuna foleni.
Naliona jiji vizuuuri jinsi lilivyobadilika kama nipo ulaya huko.
Nafurahi kuona ubungo hapana foleni tena,kuna mwaka nilichelewa bus hivihivi kwa sababu ya mataa na foleni hapa.
Halafu Kuna kima wanasema"Magufuli hakufanya kitu"View attachment 1880020
Kweli umeuliza au unanitania?Duh hapa ni Bongo?
Napenda sana kumuona dereva anavyoendesha.
Najisikia raha,hapo tukipiga stori mbili tatu basi route inakuwa fupi hata kama kuna foleni.
Naliona jiji vizuuuri jinsi lilivyobadilika kama nipo ulaya huko.
Nafurahi kuona ubungo hapana foleni tena,kuna mwaka nilichelewa bus hivihivi kwa sababu ya mataa na foleni hapa.
Halafu Kuna kima wanasema"Magufuli hakufanya kitu"View attachment 1880020
Ya zamani bei ilikuwa humohumo.Wazee kumbe hii Landcruiser 300 series siyo bei ya kuyisha sana ni dola 70 hadi 85 elfu kabla ya kodi na usafiri! View attachment 1879878
Sasa lile la mkurugenzi la milioni 400 ilikuwaje?Ya zamani bei ilikuwa humohumo.
itakuwa VXR maana hata series 300 VXR bei yake inaenda hapo kwenye 400Sasa lile la mkurugenzi la milioni 400 ilikuwaje?
Duh.. Hivi hilo VXR kodi itakuwa bei gani?itakuwa VXR maana hata series 300 VXR bei yake inaenda hapo kwenye 400
Achana nao hao, wazee wa boko haram..
Ila tusiwajadili hapa tutaharibu uzi
Duh.. Hivi hilo VXR kodi itakuwa bei gani?
Duh.. Hivi hilo VXR kodi itakuwa bei gani?
ebu weka picha nione hilo dudeMaweeee!
Mimi napenda yale VX Sport
endelea kula pips tu, huenda siku broker atakuelewa akumwagie mapeneee mkuu.. uzuri wa fx ikikupenda hiyo pesa unaweza iundaMaweeee!
Mimi napenda yale VX Sport
Mkuu, miaka 5 ijayo Mungu akiniweka hai namiliki hiyo.endelea kula pips tu, huenda siku broker atakuelewa akumwagie mapeneee mkuu.. uzuri wa fx ikikupenda hiyo pesa unaweza iunda
Mungu akujalie ndoto zako zikawe kweli boss.. maana mwenzenu naona kavuta Jaguar moja taamuuuu baraaa, ipo sex si mchezoMkuu, miaka 5 ijayo Mungu akiniweka hai namiliki hiyo.
Au kama si hiyo hata Prado ya mwaka 2022 ntamiliki.
Ni moja ya ndoto zangu
Nani huyo bossMungu akujalie ndoto zako zikawe kweli boss.. maana mwenzenu naona kavuta Jaguar moja taamuuuu baraaa, ipo sex si mchezo
humjui mkuu ? fatilia tu kwenye industry yenu utamjua mkuu. jaguar tamu sanaaaNani huyo boss
humjui mkuu ? fatilia tu kwenye industry yenu utamjua mkuu. jaguar tamu sanaaa
Hilo hapo mkuu,ebu weka picha nione hilo dude