Trip ziendelee,safi hapoMaskani ya Holy Man View attachment 1878295
na ndio fuga inayotesa gari nyingi huko barabaraniLa kwangu limepigika pigika mkuu... fuga iliyochoka mji mzima!
Hapo ni kutafuta kigari chenye cc 300, kina ramba tu wese
Ngorongoro cna ham napo ndio nimetinga dsm leo baada ya kugaragara mavumbini mbaya kbs!Mda si mrefu kuanzia ijumaa au jumamosi, nasafari ya Manyara na karatu na ngorongoro, ila kama kuna mpwa hapo.. nitapita siku moja najua hatulali njaa.. wasafiri kafiri
Mkuu kwaniniNgorongoro cna ham napo ndio nimetinga dsm leo baada ya kugaragara mavumbini mbaya kbs!
Mwendo wa VIPDuh mwendo niliotembea weekend hii Acha nikae kimya tu.
Hapo morogoro huwa kituo changu cha kwanza, nachapa kahawa nakutulia tulia, dodoma huwa kituo cha pilis pale Kahawa Cafe dodoma, kama naenda mwanza, kituo kinachofatia Regacy hotel singida.. huwa nikitoka hapo nanyooka hadi mwanza, au tabora au geitaMorogoro naonaga sijasafiri bado, sisimami kokote
atatoa boko sasa hiviiiMama anaupiga mwingi sana!
Pole sana hii misafara week mbili nyuma ilinasababishia usumbufu sana.Jamaa wameamua kuniharibia hesabu leo... block kama zote.
Hapa nimekaa Iringa karibu lisaa tumesimamishwa kupisha msafara wa Mwenge!!!!
Hii nchi hii.... Bongo nyosso.
Engine litre ngapi mkuu?Leo nilikuwa mdogo mdogo sana hamna aliyeniletea ligi. Chill speed yani. Nadhani kwa mara ya kwanza sijafuta kisahani safari nzima
Ni Regency Hotel SingidaniHapo morogoro huwa kituo changu cha kwanza, nachapa kahawa nakutulia tulia, dodoma huwa kituo cha pilis pale Kahawa Cafe dodoma, kama naenda mwanza, kituo kinachofatia Regacy hotel singida.. huwa nikitoka hapo nanyooka hadi mwanza, au tabora au geita
Daraja la Kijazi/Ubungo nadhaniWapi hii
ndio ndio ipo pale kwenye kiziwa , mwaka juzi maji yalifanya sana yake pale.. huwa napapenda kwa ajiri ya ile view yakeNi Regency Hotel Singidani
Wapi hii
Daraja la Kijazi/Ubungo nadhani
Nilipiga mzinga kaka kipande ya ngarasero to waso km waenda loliondo brbr ni changamoto haswasema wee utaenjoy maana waishia ngorongoro full lami.Mkuu kwanini
Yap unapumzika counter pale ukitazama watoto wa kinyatu wanavyorukaruka kwa swimmingNi Regency Hotel Singidani