Mkorintho
JF-Expert Member
- Feb 17, 2009
- 594
- 1,143
Hizi ni around 140+ KmsMkuu hiyo barabara tamu sanaa nilitoka dom kwenda kondoa wiki iliyopita nilifurahi sana maana mwendo ni 180 narudi 160 yaani tuta nimekuja kulikuta karibu na kondoa tena unapunguza kidogo tu kama 100 hivi unapotea nilitumia saa moja na robo kutoka dom mpk kondoa.


kioo changu kimoja nishakipasua.


acha utani!
,utadhani nimetupa 50k yangu kwenye tundu la choo.