ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,074
- 17,456
Yai ila tamuNafikiri gari za ulaya hazitaki shurba zisizo na msingi, na kama ukiipa shurba moja kwa moja kaifanyie service ya kueleweka. Tofauti na hapo ni swala la mda .. ikichachamaa utaona ni gari sumbufu . Lilee kama yao flani hivi utafurahia mwenyewe


Naanza trip ya Babati muda si mrefu. Acha nisafiri na mwanga ni enjoy hii road

