Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hio hali ya Masika ndio nimeendesha nayo jana usiku kucha. Kuanzia Bagamoyo hadi naingia mkoa wa Kilimanjaro.
Wewe jamaa bado unahusika na gari kaka ?
Nimemuuza mnyama wangu corolla alianza mazoea mabaya na mimi ntamani nipate second hand car aisee ila kikibwa iweze kuhomili rough road maana naishi kijijini huku
 
Wewe jamaa bado unahusika na gari kaka ?
Nimemuuza mnyama wangu corolla alianza mazoea mabaya na mimi ntamani nipate second hand car aisee ila kikibwa iweze kuhomili rough road maana naishi kijijini huku
Duh sasa itakuwaje mnyama umemuachia?
 
Mkuu hivi ile corolla inaweza road trip Dar-Mbeya?
Nafurahia kujua kuwa kaka mkubwa unajua nilikuwa namiliki mnyama corolla.

Kiukweli Dar alikuwa hawezi kutoboa ila Njombe ameenda sana ,Dar nilikuwa naogopa naona kama nitamuoverdose
Nimemtoa mwezi mmoja nyuma kaka alianza mambo mapya nikajua hakuna kirefu kisicho na ncha ,sasa nataka kuingia ulimwengu mpya niachane na vya urithi kaka
 
Duh sasa itakuwaje mnyama umemuachia?
Roho inauma si kidogo ila kama mwanaume ilinibidi nikubali kuwa wakati ukuta na wakati wake umeisha maana kuna muda nilikuwa nikiikimbiza nasikia kama inagonga sana chini ,pelekq kwa fundi zaidi ya mara mbili tena garage zenye mafundi walau tunaowqamini mbeya ila bado hakuacha kulia zaidi ya kupumzika .

Ilinipa sonona siku nzima kukubali kuwa sasa naachana naye
 
Kweli kila kitu kina mwisho.
 
Safari na mke wako acha umalaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…