Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,452
Sasa inabidi umrudie umwambie hata sahmahani, roho itatuliaDuh leo nimetenda dhambi roho imeniuma sana. Nilikuwa na gari sijaizoe. Taa ya mafuta imewaka range inanionesha nina km20 tu. Nikaamua niweke mafuta ya kunifikisha home tu nikaweka 10,000 nilijua itaongeza range hadi km60 hivi. Baada ya kuweka mshale haukusogea wala range haikubadilika. Nikaenda ninapoenda range inashuka.
Kurudi nikapita njia ile ile range iko 14, nikapita pale kituo cha mafuta nikamwambia Yule dada nimeweka mafuta hapa kwako lakini gauge haikupanda wala kuonesha kuna mafuta yameingia, umeniibia! Dada Yule akasema sijakuibia nimekuwekea hela ulionipa nikamwambia haiwezekani kusiwe na mabadiliko kwenye gauge, ikabidi niende kituo kingine nikaweka 10, aisee gauge ikakurupuka ikapanda sana na range ikaja kwenye 110km. Hapo nikajua ni kweli aliweka mafuta nimemsingizia tu. Nimejisikia vibaya sana.
Ngoja kwanza game ya Simba na Yanga iishe. 😁Bado nasisitiza...kuna Afande masai akikukamata huna bahati
Naangalia hii mechi tumbo linatetema kama engine ambayo haichomi plug moja..[emoji28][emoji28]Ngoja kwanza game ya Simba na Yanga iishe. [emoji16]
Ulipotelea wapi dea jomoneeeh, mie had huku naumwa lol.Ngoja kwanza game ya Simba na Yanga iishe. [emoji16]
Ni halftime sasa.Naangalia hii mechi tumbo linatetema kama engine ambayo haichomi plug moja..[emoji28][emoji28]
Nipo dia. Heri ya mwaka mpya.Ulipotelea wapi dea jomoneeeh, mie had huku naumwa lol.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mwaka mpya kwangu uko vizuri, naamin nawe pia ni hvyo.Nipo dia. Heri ya mwaka mpya.
@Depal mshiki..View attachment 1676786
Naelewa, maana si kwa ule mtelezo wake. Ye mwenyewe atakuwa anajua maana ni wale madada wa mjini mjini kiasi
Majuzi tu hapo imepitiwa kidogo. Ila hii ya mshikaji
Nipo Arusha..Unasemaje?
Nimeumia mechi ilee..[emoji26][emoji26][emoji26]Ni halftime sasa.
Refa anazingua, simba wanaonewa bana.
Andaa trip basi,Kwani si tushamaliza kulipa ada?
Kwetu wapi tena jamani?Nipo Arusha..
nina simulizi tamu ya safari yangu jana..
kutoka nilipotoka hadi hapa kwenu
Kombe lenyewe baya!!Nimeumia mechi ilee..[emoji26][emoji26][emoji26]
Nitaandaa katrip tu usijali kuhusu hilo..Ada tushamaliza Mungu ni mwema...[emoji1]
Kupenda nazipenda ila tunaishia kuzipenda tu hivyo hivyo.Wabongo mkuu.. kwani hupendi Nissan Y62 au VXR V8 ?
Sawa mkuu,thnxs.Ukiwa umelwwa hulipwi. Driving without valid licence hulipwi. Kuna certain negligence unakuwa allowed kama wrong overtaking nk.
Malizia crown athlete.,zile nyingine hazigusiki.Nimegundua wanawake umri wa kati mnapenda sana Crown!
Ila mimi seat belt hata niwe naenda safari ya dakika 3 lazima nivae yaani ni kitu ambacho kwangu ni voluntary,ilishaniokoa na ajali moja matata sana.Itanibidi nitembee na kamba ya kukufunga kabisaa...Ili ukivua seat belt lamba ibaki..[emoji28][emoji28][emoji28]
unakuta ni majira ya saa saba mchana, asakri akiangalia salio alilotumwa na bosi halijajaa,walahi hakuaachii...
Sasa hivi askari wakali sana maswala ya seat belt kwa anaweza akakagua magari kumi asiambulie kitu, akikuta seat belt haijatumika, anabonyeza hapo hapo..
Mimi nikipanda cha kwanza ni kukunjua seat, kama ni lift sijamzoea dereva uwa nakaa nyuma. mkanda sio kipaumbele mpaka nikumbushwe. Nina balaa basi tuIla mimi seat belt hata niwe naenda safari ya dakika 3 lazima nivae yaani ni kitu ambacho kwangu ni voluntary,ilishaniokoa na ajali moja matata sana.
Na mtu akipanda gari yangu kitu cha kwanza ni funga mkanda sinaga aibu kwny hilo.
mimi nikifunga mkanda ndo najiona nipo vizuri, nisipofunga najiona naelea kwenye kiti.Ila mimi seat belt hata niwe naenda safari ya dakika 3 lazima nivae yaani ni kitu ambacho kwangu ni voluntary,ilishaniokoa na ajali moja matata sana.
Na mtu akipanda gari yangu kitu cha kwanza ni funga mkanda sinaga aibu kwny hilo.