cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,308
Kwa huyo pixel? Ingekua I4n labda. LolSo wadada waandae pain killer 😎
Kwa huyo pixel? Ingekua I4n labda. LolSo wadada waandae pain killer 😎
😂😂😂😂Wadada ni Iphone ambayo ni 17 series ndio iko Njiani, Yani mpaka tufike 20 series watakuwa hakuna hata linda moja
Pixel 9 pro ni bei gani na 16 Pro bei gani ?Kwa huyo pixel? Ingekua I4n labda. Lol
Zina shida gani? Nini tofauti na processor nyingine kama uliyotaja?Tatizo ni processor zao.
Hata sijui mie.Pixel 9 pro ni bei gani na 16 Pro bei gani ?
basi sawa, ndio ivyo watajichagulia pain killer mzuri wao wenyewe 😅Hata sijui mie.
😂😂😂😂😂basi sawa, ndio ivyo watajichagulia pain killer mzuri wao wenyewe 😅
Hazina shida ila kwa level ya flagship huwa zinaachwa gap na wenzake wanaotumia Snapdragon kwenye performance (CPU na GPU) so kwenye processor Pixel zinakuwa nyuma ukilinganisha na Samsung, Oppo, Xiaomi, vivo nkZina shida gani? Nini tofauti na processor nyingine kama uliyotaja?
Samsung ipi brother unaizungumzia?Naikubali pixel kuliko samsung.
Bwana Mungu ameumba aiseee.huyu atataka iPhone 17 Pro max .. kazi kwamo Ponjoro
View attachment 3447514
Nilihama Samsung nikaenda pixel, mkuu achana software UI ya Samsung, hii ngoma sidhani ina mpinzani.Ninapenda gadgets na wala si sababu nyingine yeyote...
Nimekuwa nikitumia Samsung tangu 2012 hapo hadi sasa...
Pixel za mwanzo zilivyotoka sikuwa nimeguswa sana na muonekano wake, lakini kuanzia toleo la 9 na sasa hili la 10 zinashawishi kujaribu kuwa nayo...
Features nyingine za ndani nadhani hazipishani na Samsung sababu zote ni android OS...
Upo sahihi, Samsung anakupa kila kiiiitu unachokitaka mteja. Vyote anakupa, hii Samsung UI ni moto mwingine.Zote ni Android lakini Samsung wameweka One UI. Zina vitu vingi sana kuliko Pixel na zinatofautiana
Pixel software yake inawapendeza watu wanaopenda simplicity na minimalistic design, hawataki mambo mengi.
Samsung wao wamebase kila kona, kuanzia features, customization, AI nk. Software yao ina kila kitu
Ila kama umetumia Samsung tangu 2012, basi naelewa kwa nini unataka uhame
na vikaumbika mkuu 😅Bwana Mungu ameumba aiseee.