mchukiaufisadi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 546
- 193
Wakiingia kwenye basi roho zao wanamkabidhi dereva. Wakifika wanazichukua wakati wa kushuka. Shida inakuwa pale ikipiga kabang! na dereva kafa!!! mtafutano kuzichukua roho zao mwishowe wengi hufia mlangoni wakigombea kumuwahi dereva asiondoke nazo. Tuache kushabikia mwendo kasi.hivi niwaulize.....nyie wote mnaopenda mwendo wa hizo gari.......roho zenu mnakuwa mmeweka rehani.......?....kwa nini upande gari linalokimbia namna iyo.......?
Kitu Allys hicho kiliwapeleka puta mpaka polisi Shinyanga wakaweka utaratibu ukiingia kabla ya saa 1 jioni unawekwa pending mpaka saa 2 usiku ndio unaruhusiwa, njia ya Mwanza ndefu magari mengi yanawika alafu yanapotea, Green Star, Princes Muro, Lucky Star wametesa wakachemsha, wazee wenyewe Super Najimunisa (The Pride of Mwanza) na Zuberi wao hawapo kwenye top 3 lakini kila siku wapo barabarani kwa kipindi kirefu bila kuteterekaHii ilikuwa hatari enzi zake hamna gari yeyote inayotia puaView attachment 106810
Tena kama miaka hii ajali imekuwa imekuwa kawaida kama watanzania na ugali, mie mwenyewe long time miaka ya 90 mwishoni mpaka 2000 nilikuwa napanda magari yalikuwa yanakimbia lakini ajali zilikuwa sio kivile, ikitokea moja na kuua watu 10 Tz nzima wanasikitika, nani asiejua ajali ya Yarabi Salama (Dodoma to Dar) ambayo ndio ilisababisha kusafiri mchana mpaka sasa hivi maana those days ilikuwa kusafiri usiku au nani asiejua ajali ya Air Msae ambayo nayo ilikuwa gumzo nchi nzima na serikali ilikuwa ina act vilivyo, but siku hizi ajali za level ya Air Msae na Yarabi Salama nadhani zimeshatokea mara kibao na watu wanachukulia poa (I guess wanasiasa wanapoingia kwenye hizi biashara wanakingiana kifua)Wakiingia kwenye basi roho zao wanamkabidhi dereva. Wakifika wanazichukua wakati wa kushuka. Shida inakuwa pale ikipiga kabang! na dereva kafa!!! mtafutano kuzichukua roho zao mwishowe wengi hufia mlangoni wakigombea kumuwahi dereva asiondoke nazo. Tuache kushabikia mwendo kasi.
Kwa wale wa Dar-Tanga-Mombasa bila kuisahau Tahmeed zenye ABS (automatic break system)
Tanga kuna ratco full AC
Huyu nae sijui yupo vipi huko kanda ya ziwa
Wakuu mabasi yepi ya uhakika kati ya DAR na Nairobi?
mnasema hizo happy nation,, sijui nganga,, enzi zile wakati zinaanza kuingia ligi ilikuwa inapambwa na mabasi yafuatayo.....
1. KISWELE,RUVUMA LINE,TAWAQAL, LIKUNGU, SPECIAL COACH, SHABIBY... hizi zote zilikuwa kabla jua halijazama mshatimba SONGEA.. saa kumi jioni watu mnaitafuta KWA MFARANYAKI, BOMBA MBILI..
2. ILANGAMOTO, MAKETE, WIDAMBE, LUPELO. hawa walikuwa watabe wa njombe - dar
3. SAYUNI, MASIA LINE, MATEMA BEACH, SAFINA, HOOD ( to date),ZAINAB'S, ... mbeya dar
hiyo ligi inaanzia pale ubungo terminal basi mishale ya saa 4/5 mpo kitonga au wengine wanakuwa pale ilula wanapata menu kabla ligi haijaanza tena 2nd lap.... dereva aliekuwa mtemi wa hiyo njia alikuwa jamaa mmoja anaitwa GIRIKI..... huyo kama unatoka mbeya afu unataka kuwahi mechi taifa huna wasi wasi.. unawahi bila matatizo... sio hizi takataka za siku hizi......
Huyu nae sijui yupo vipi huko kanda ya ziwa
Tena kama miaka hii ajali imekuwa imekuwa kawaida kama watanzania na ugali, mie mwenyewe long time miaka ya 90 mwishoni mpaka 2000 nilikuwa napanda magari yalikuwa yanakimbia lakini ajali zilikuwa sio kivile, ikitokea moja na kuua watu 10 Tz nzima wanasikitika, nani asiejua ajali ya Yarabi Salama (Dodoma to Dar) ambayo ndio ilisababisha kusafiri mchana mpaka sasa hivi maana those days ilikuwa kusafiri usiku au nani asiejua ajali ya Air Msae ambayo nayo ilikuwa gumzo nchi nzima na serikali ilikuwa ina act vilivyo, but siku hizi ajali za level ya Air Msae na Yarabi Salama nadhani zimeshatokea mara kibao na watu wanachukulia poa (I guess wanasiasa wanapoingia kwenye hizi biashara wanakingiana kifua)
sitaki hata kusikia hiyo gari mkuu haifai inapeperukaKuna mashine moja ya Happy Nation nyuma imeandikwa "Voice of Manka". Hicho ni kisu, mwisho wa maneno. Sijajua hiyo scania engine yake ilifanywa nini. Hiyo ndo kiboko ya gari zote za Mbeya, iringa na Songea.
Kitu Allys hicho kiliwapeleka puta mpaka polisi Shinyanga wakaweka utaratibu ukiingia kabla ya saa 1 jioni unawekwa pending mpaka saa 2 usiku ndio unaruhusiwa, njia ya Mwanza ndefu magari mengi yanawika alafu yanapotea, Green Star, Princes Muro, Lucky Star wametesa wakachemsha, wazee wenyewe Super Najimunisa (The Pride of Mwanza) na Zuberi wao hawapo kwenye top 3 lakini kila siku wapo barabarani kwa kipindi kirefu bila kutetereka
Ile ajali ya style ya air msae mbona imetokea weekend hii tu meridian imeanguka na kubaki nusu tu bodi lajuu lote tupa kule aisee......