Wazee wa kuchapia!

Wazee wa kuchapia!

Ernie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
217
Reaction score
27
wakati tuko shule hili suala lilikuwa ni muhimu sana na tulikuwa na note books kwa ajili ya hiyo michapio, kwa mfano!

Hiyo Chongea Konea hapa meaning Hiyo kona chongea hapa

Maftudari kava meaning Cover ya madaftari

Endeleeni..................................!
 
masaa 24 (saa 24)
zarau (dharau)
oyono mpia (oyono mbia)
barabara ya nyerere road (barabara ya nyerere)
vusoda (visoda) hi mara nyingi huwatokea watu wa kabila la wahaya utasikia vunini? (vinini?) uvo (hivyo)
 
kafa manzeshe mazishi shinza-kafa manzese mazishi sinza
 
Duh jamani sasa mbona hamuandiki ilikuwa inatakiwa kumaanisha nini kwani hivi inakuwa kama kilugha flani cha kawaida kabisa
 
Back
Top Bottom