Wazee wa kuchapia!

Ameshmama dedo - Amesmama dede

Mwanamanyala - Mwananyamala
 
Mzee 1: Aisee ISUNZU Iile inakimbia sana,
Mzee wa 2: Wewe sio ISUNZU, ni ISUSU,
Mzee wa 3: ha ha haaaa, nyie kweli vilaza, sio ISUNZU wala ISUSU, ni IZUZU
(Wakimaanisha gari aina ya INZUZU.., or sorry ISUZU))
 
Vaa soski zako upesi uende sule =vaa soksi zako upesi uende shule
Maiko jaskoni anacheza dikso=Maiko Jackson anacheza disko
 
Anasukua sufuria - Anasugua Sufuria

Anakuma Bata - Anakula Bata
 
"ukileta mchezo nitakuwa sikulipi hela yako!" akimaanisha "ukileta mchezo sitakulipa hela yako!"
 
mataka kwenda kitombe, lakini mnyege sina takojowaje..
(nataka kwenda kitumba lakini sina mwenyeji nitakujuwaje)
 
..kali zaidi enzi zile tunajifunza kimombo
"I looked for you weee but where" - nilikutafute wee lakini wapi!
"He ate the corner" - alikula kona
"You have to be very eyes.." - mnatakiwa muwe macho
Kiranja - "You, jump kifrog frog! - ruka kichura chura
 
Nimekuja kwako nikakukuta haupo! Damn! instead ya nimekuja kwako nikakuta haupo/ sikukukuta.
 
wakati tuko shule hili suala lilikuwa ni muhimu sana na tulikuwa na note books kwa ajili ya hiyo michapio, kwa mfano!

Hiyo Chongea Konea hapa meaning Hiyo kona chongea hapa

Maftudari kava meaning Cover ya madaftari

Endeleeni..................................!
Kwa wale kama wapo waliosoma ktk kijijini kwetu wanakumbuka tulikuwa tumeanzisha lugha ambayo ilikuwa kama si member siyo rahisi kuielewa nayo ni "chamchanisechama chakuchawa, chawechawe chauchanachatachaka chakuchasuchambuchaa chawachatu.
nikusema wewe unataka kusumbua watu, na tulikuwa tunonge haraka sn.
utoto ni raha fulani.
 
Back
Top Bottom