CHANGIA CHADEMA LIVE kupitia STAR TV: IJUMAA 23 Machi SAA 2 - 4 Usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHANGIA CHADEMA LIVE kupitia STAR TV: IJUMAA 23 Machi SAA 2 - 4 Usiku

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amani.sg, Mar 18, 2012.

 1. a

  amani.sg Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ijumaa tarehe 23 Machi kuanzia SAA 2 hadi 4 Usiku kutakuwa na hafla na kipindi maalumu kupitia STAR TV cha kuchangia chadema ili kukiwezesha chama kufanya harakati na kazi kubwa iliyopo mbele ya siasa ya ukombozi.
  Hafla hiyo itaongozwa na Mhe Freeman Mbowe (MB), Dr W Slaa na wabunge wa chadema na marafiki wote wa chadema watajumuika pamoja katika hotel ya Naura springs - Arusha.

  LIve STAR TV - utaweza kuchangia kupitia MPESA, TIGO PEsa na Airtel Money kwa namba hizi:
  0757 755 333
  0763 744 334
  0684 425 222
  0655 788 333
  Namba zote zimesajiliwa kwa jina la CHADEMA ARUSHA.
   
 2. commited

  commited JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Asante sana mkuu ni good movie, cdm mbele kwa mbele.. Chama makini huchangiwa na kuendeshwa na wanachi makini na wenye moyo wa uzalendo. Kila la kheri cdm. Mungu awe nanyi siku zote. R.i p ccm
   
 3. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tunashukuru kwa taarifa, bali tunaomba mtumie coverage mtakayoipata kuwaelimisha wananchi nguvu waliyonayo

  View attachment 49603
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tutachanga kw moyo mkunjufu kabisa lengo ni kumtoa ccm pale alipo
   
 5. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hongera! Nimefurahia utaratibu huu kwani hata J. K. Nyerere alitumia mbinu ya kuomba michango kwa wananchi ili kuleta umiliki wa chama kwa wananchi..
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  mimi nshatupia mzigo tayari.

  mama+baba+madogo 6+ mwanangu = watu 9*2000= 18,000.

  bado nadaiwa 18,000 za kuikomboa Tanzania.

  lazima nizitume kabla Arumeru haijakombolewa.
   
 7. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama wananchi waliiweza kuchangia vita ya kagera, huu ukombozi wa arumeru ni swala dogo sana.
  Changamoto moja kwa CDM, ni kwamba wao wanataka michango interms of money tu? Wakati wa vita ya kagera wananchi walikuwa wanapeleka chochote walichonacho. Mwenye kuku twende,ng'ombe twende, hela twende....
   
 8. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tuko Pamoja katika Ukombozi wa Taifa Letu, "Tumeanza na Mungu, Tutamaliza na Mungu"
  Tuhamasishane kwa wingi Ijumaa.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Aiseeee!
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kuchanga si tatizo wenye mapenzi na hicho chama watachanga...tatizo ni matumizi.
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Duh! wapiga debe kumbe nao wapo?
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  CHADEMA bwana..very interesting program!! Namsubiri Tumntemeke & co waje na comments zao majitaka hapa JF.
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  pamoja wakuu.
   
 14. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Utaratibu huu ni
  safi sana kwa wana
  chadema, ukiwa na
  chochote tupia ili
  tujenge chama chetu. Naamini kwa mfumo huu tutaweza kujenga chama chetu mpaka vijijini. Mwalimu nyerere alitupa uhuru kwa michango. Watanzania bado bado hatujapata uhuru, tuanze ukombozi.
   
 15. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli nimekubaliana na maneno ya Nape wafadhili wameingia mitini, baada ya kuona hakuna ukombozi bali viongozi kuendelea kujitajirisha kupitia siasa.
   
 16. U

  UTANIPENDA Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA hii mmecheza akili. Safi sana. Mimi nimesharusha mpesa na tutatazama hiyo live show. Nassari mbunge wa arumeru awepo tumuone.
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hata mimi tayari nimechangia milioni 30.
   
 18. j

  jipange JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2015
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Chadema naona kama pesa hamna sion matangazo wala mabango makubwa na vipeperushi wala media coverage kwenye tv na radio.tupo tayari kuchanga wekeni mpesa,tigo pesa etc tuchange pesa.binafsi nipo tayari kutua 1m kwa ajili ya ukombozi
   
 19. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2015
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Wazo zuri. Kampeni za Chadema zimepoa sana
   
 20. Daby

  Daby JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2015
  Joined: Oct 26, 2014
  Messages: 22,236
  Likes Received: 49,096
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri saaana
   
Loading...