pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 4,643
- 3,020
Nasubiri mchango wa CHIEF MKWAWA kwenye huu uzi2
Game linachange mkuu kuna tech za zamani ambazo tuliamini Nokia ndo mbabe na hakuna mwingine ila. Sasa Nokia kateleza kapigwa bao na wengine wanasonga.... Kuna kipindi 2001-2001 kati ya watu 10 ,7 wanamiliki Nokia ila mambo yamechange!... Hapo mbeleni tutaona makampuni yanayochipukia yakileta ushindani wahaja maana back to 2012's Huawei alikua kapuku tuu mbele ya Iphone na Samsungu but gape limepungua sana leoNi vigumu,maana wao ndio kama kaka/dada kwenye huu ulimwengu.
Angalia simu zote zitainga muonekano na mfumo wa screen lock kwa s10,baadhi zitasubiri iphone Xse itakujaje waige.
Mbaya zaidi game la smartphone limefika crimax kwenye ubunifu.tumeishajaza kioo kwa 90+ to body ratio.je umeshajiuliza nini kinafuata??kioo kijacho kitakuwaje??sasa hapa ni either kaka au dada aimbishe madogo waitikie.
Hiyo lock ya fingerprint mbona OnePlus 6T anayo
Game linachange mkuu kuna tech za zamani ambazo tuliamini Nokia ndo mbabe na hakuna mwingine ila. Sasa Nokia kateleza kapigwa bao na wengine wanasonga.... Kuna kipindi 2001-2001 kati ya watu 10 ,7 wanamiliki Nokia ila mambo yamechange!... Hapo mbeleni tutaona makampuni yanayochipukia yakileta ushindani wahaja maana back to 2012's Huawei alikua kapuku tuu mbele ya Iphone na Samsungu but gape limepungua sana leo
Apple iPhone zimekushinda sababu ya umaskini wako .Ngoja nitafte mteja wa kiwanja changu. Hii simu sio ya kukosa.
Sijawahi kuona simu nzuri kama anazotengeneza samsung, hasa hizi zenye curved screen, less bezel. Sijawahi.
Niliwahi kutumia matakataka ya apple yakanishinda.
Simu ni samsung, hizo nyingine ni vifaa vya mawasiliano tu.
mkuu GSM arena ya kitambo ambayo Tecno haipo ila ya sasa hipo mkuu wanazitangaza simu kutoka kampuni ya TECNO
Rudia kusoma uelewe, sijasema ilinishida bei.Apple iPhone zimekushinda sababu ya umaskini wako .
Sent using iPhone x
Huawei ni moto mwingineGame linachange mkuu kuna tech za zamani ambazo tuliamini Nokia ndo mbabe na hakuna mwingine ila. Sasa Nokia kateleza kapigwa bao na wengine wanasonga.... Kuna kipindi 2001-2001 kati ya watu 10 ,7 wanamiliki Nokia ila mambo yamechange!... Hapo mbeleni tutaona makampuni yanayochipukia yakileta ushindani wahaja maana back to 2012's Huawei alikua kapuku tuu mbele ya Iphone na Samsungu but gape limepungua sana leo
Kuanzia PC,tablets,smartphone na telecommunications apparatus wao wanakimbiza
Hadi Mmarekani ameanza kumfanyia figisufigisuKuanzia PC,tablets,smartphone na telecommunications apparatus wao wanakimbiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka simu ya kwanza nilikuwa nayo mwaka 1985 niliuziwa kwa punguzo kubwa na jamaa yangu officer mmojaBoss nazungumzia Portable cell phoness
Hahahaha nasikia nyie team jiwe mmekuwa ni dona countryDaaah hawa wenzetu wapo mbali sana, sijui sisi team Jiwe tunakwama wapi
Sent using Jamii Forums mobile app