Wazee wa flagships, SAMSUNG washafanya yao huko, S10 - series Tayari

Simu Ni iPhones pekee
Izo nyingine ni ujinga ujinga tu
Usishabikieee kitu ambacho huwezi kukicustomize jinsi upendavyo
Acha kukarr iz mambo hakuna iphone hata ya mwaka huu itayo gusa upepo wa s10 plus na wakilipa kuna king fund mwenye anakuja the greatest of all times the unbeatable untouchable
Samsung galaxy note 10
Homa itabak kuwa homa tu sku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weeee una minyoo syo buree
High end laptop gan imepitwa na hicho kimeo
Kuna vitu vya kulinganisha
Kuna wajinga wacache wanaosema iphone ina piga picha kal kulko maDSLR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weeee una minyoo syo buree
High end laptop gan imepitwa na hicho kimeo
Kuna vitu vya kulinganisha
Kuna wajinga wacache wanaosema iphone ina piga picha kal kulko maDSLR

Sent using Jamii Forums mobile app

ikiwa kwenye video za kulinganisha ubora wa camera,simu huwa na picha kali sana!!!ishike mkononi utabaki kishangaa unakosea wapi???

Ikaja kugundulika kwamba kuna tumbili huwa wanatumia DSLR pumbaavu.
 
Haya makampuni naona wanazidi kutengenezea masimu makubwa tu sijui washaona watu wanapenda simu kubwa zaidi ya 6"
Mimi binafsi napenda screen ya 5.0 mwisho 5.2"
 
binafsi napenda 6' inch na iwe zaid kwenye urefu na sio upana, ngoja tuone mwisho wao, japo nahsi ndio sbb wameanza kutoa foldable phones, uwe unacheza na size uipendayo na kutokana na matumizi, maana kuna wakati utahitaji screen kubwa kutokana na matumizi/kazi, sehemu ambayo sijaona mapinduzi makubwa hasa ya hardware ni kwenye PC zaidi ya sleemness na battery life kdg.
Haya makampuni naona wanazidi kutengenezea masimu makubwa tu sijui washaona watu wanapenda simu kubwa zaidi ya 6"
Mimi binafsi napenda screen ya 5.0 mwisho 5.2"
 
Rekebisha maelezo.kwel kama first mobile phone walikuwa motorola mwaka 1973 wagunduzi wakiwa John F.Mitchell na Martin Cooper iliyokuwa na kg karibu 2.
Martin Cooper ndiye anatambulika kama mgunduzi wa kwanza wa simu ya mkononi na Ndiye Baba wa Simu ya Mkononi, mleta mada anapaswa kuliweka sawa.
 
Ugunduzi ninaosubiri kwa sasa ni smartphone yenye kukaa na charge kwa muda mrefu kama week au zaidi
tayari mbona ipo kitu ina itwa #energizer Mah 18k
Screenshot_2019-03-24-10-43-51.jpeg
Screenshot_2019-03-24-10-43-14.jpeg
Screenshot_2019-03-24-10-43-34.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
. TSH .
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge
Kioo-190,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge Plus
Kioo-270,000.-SUPER AMOLED
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k

ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 𝕎𝔸ℝℝ𝔸ℕ𝕋𝕐 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝟞

Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
Back
Top Bottom