Message ya kwanza ilitumwa miaka 31 iliyopita

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2834854

Imepita zaidi ya Miaka 31 tangu message ya kwanza kutumwa duniani kupitia simu mpaka kufikia Leo hii Kuna zaidi ya message trilioni zimetumwa ulimwenguni kupitia simu.

Turudi Nyuma mpaka mwaka 1992 kampuni ya Vodafone ndo ilikua kampuni ya kwanza kuruhusu watu kuweza kurushiana message kwa Kila mmoja wao.

Maneno ya mwanzo kutumwa yalikua Toka kwenye simu ya mkononi Ya Orbitel 901 japo kuwa ilichukua mda mpaka message kumfikia mlengwa kupata taarifa

First%20Sms%20%E2%80%93%201.jpg


Ujumbe huo ulikua "Merry Christmas" Miaka hiyo ya 1992 hakukuwa na emoji au reactions yoyote ilikua message tu imetumwa ya kawaida lakini sasa maendeleo ya teknolijia imepelekea utumaji wa message uko kwa namna tofauti tofauti.

Mpaka kufikia mwaka 2002 kulikua na jumla ya message bilioni 250 zimetumwa ulimwenguni na ilipofika mwaka 2008 wamarekani ndo wakaletq mfumo wa kulipia wakati mtu anatuma message kupitia simu.

#mesaage #firstphone #smartphone #Fahamu #historia #bongotech255 #Orbitel901 #teknoloji #Vodafone
 
Umeelezea kana kwamba unakimbizwa vile au simu yako inaandika bettery low inataka kuzima!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom