mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,309
- 16,098
Ulitumia samsung ipi? Mpaka unasema hivyo na sasa unatumia huawei ipi?.All I know siwezi nunua tena Samsung.. Ni huawei all the way labda na Apple in the future
Sent using Jamii Forums mobile app
I love nokia ya torch
Tatizo ni kwamba kipindi wana invent na ku- innovate sisi tulikuwa tunawalimia mashambani kwao.
hii kitu karibuni wote wanaweza, kinachowapa mtihani ni kua wateja wanahtaj simu nyepesi na nyembamba, na kumbuka battery size its all about number of cells/atoms kwaio battery size is direct proportional to number of cells/atoms, this means : large battery = many cells/atoms = long life, THIS IS TRUE ONLY IF OTHER FACTORS LIKE TECHNOLOGY ARE CONSTANT, Maana waweza uwe na battery kubwa lakn cells/atoms ni chache maana tecnologia uliyotumia ni ndogo,Ugunduzi ninaosubiri kwa sasa ni smartphone yenye kukaa na charge kwa muda mrefu kama week au zaidi
ifike mahali samsung watengeneze OS yao sasa, japo hapa ni kama ku bet, maana anaogopa kisije mkuta kilichomkutaga NOKIA LUMIA kwenye windows na blackberry, mwenye OS mwenyewe ni Google Pixel, android ni ya google na simu ni ya google na ndio maana unaambiwa ukitaka u experience true android basi nunua google pixel, na huyu jamaa ashaanza kutishia soko la samsung.
Unaenda nunua dukani au mkononi mkuu?BORA ITOKE TU
HIZI S8& S9 ZISHUKE NA SIE WA S5 TUMILIKI
zikishuka bei hata mkononi nanunua mkuuUnaenda nunua dukani au mkononi mkuu?
Itakua tupo tofauti mimi masimu yenye edge ya samsung hua siyapendi kabisaNgoja nitafte mteja wa kiwanja changu. Hii simu sio ya kukosa.
Sijawahi kuona simu nzuri kama anazotengeneza samsung, hasa hizi zenye curved screen, less bezel. Sijawahi.
Niliwahi kutumia matakataka ya apple yakanishinda.
Simu ni samsung, hizo nyingine ni vifaa vya mawasiliano tu.
Camera zote zinafanya kazi kwa wakati mmoja na kila camera ina kazi yake. Muunganiko wake unatoa picha moja yenye ubora zaidi.Kuna simu zina kamera 2 au 3 kwa nyuma wazoefu tuambieni zinatumikaje? Au una chagua utumie camera hii badala ya hii?
teknolojia inakua kwa kasi sana muda si mrefu itafika tu wala haina mbwembwee kama zamani5G kwa tz bado kufikia hiyo kas
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Hiyo 4G yenyewe coverage yake haipo mikoa yote Tanzania, ndio ije kuwa 5G?teknolojia inakua kwa kasi sana muda si mrefu itafika tu wala haina mbwembwee kama zamani
Hiyo 4G yenyewe coverage yake haipo mikoa yote Tanzania, ndio ije kuwa 5G?
Sent using Jamii Forums mobile app