MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 403
Kesho Natarajia Akikenua Meno Vigelegele, Akijamba Makofi Ya Kumwaga, Hakuna Jipya Zaidi Ya Kusema Vyombo Vya Dola Bado Vinachunguza.
Kwahiyo leo ukionana na bawacha wenzako utawaambia leo umeweka bonge la mada jf kumbe umeandika ujinga.Habari wana JamiiForums.
Ninafahamu kuwa nchi yetu ina wasomi wengi waliobobea katika nyanja mbalimbali za kitaaluma ikiwemo masuala ya uongozi na Ushauri.
Lakini cha kushangaza kila linapoibuka Jambo zito linalogusa maslahi ya nchi Mh. Rais wetu Kikwete anakimbilia kuzungumza na kikundi kidogo cha wazee maarufu kama wazee wa Dar.
Mimi sina tatizo na Mh. Rais kuzungumza na wazee lakini najiuliza kwanini asiwashirikishe na wasomi, wanasheria na wanasiasa wenye kuweza kushauri jambo kwa manufaa ya nchi hasa wale wanaotoka vyama vya upinzani? Ina maana kila ushauri unaotoka Katika vyama vya upinzani hauwezi kuleta tija kwa nchi?
Mpaka sasa Rais ameshazungumza na Wazee wa Dar mara nyingi lakini hatujaona mafanikio yoyote ya kile anachoshauriwa huko badala yake mambo yanazidi kuwa magumu na nchi inamuwia ngumu.
Nashauri Rais ajaye asifuate utaratibu huu mbovu anaoutumia Mh. Rais wa kuliangamiza taifa na wakati tunao wasomi waliobobea katika nyanja mbalimbali lakini wanapuuzwa anaishia kuwapa chai wazee wanampigia makofi anaona mambo yanakwenda kumbe njaa za wazee wa Dar ni kusifia hata pale Mh. Rais hakufanya sawa huku wakiangalia maslahi yao binafsi tu.
Nawasilisha.
Kwahiyo leo ukionana na bawacha wenzako utawaambia leo umeweka bonge la mada jf kumbe umeandika ujinga.
Hakuna ngoma zitto pale ngoma nyepesi wala haikeshi kabisa.ujinga upi huo unaouzungumzia. Haya ngoja tusikie leo watamshauri nini maana ngoma nzito.
Siasa maji taka kalale.
Hakuna ngoma zitto pale ngoma nyepesi wala haikeshi kabisa.
Baba wa taifa alikuwa akifanya hivo. . Sioni cha ajabu