Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,173
- 56,681
Ngoja nikaangalie, Jamani hivi ulishaona wapi mtu unatuhumiwa kuua bila kukusudia halafu upo busy mahakamani unachart na simu tena umerelax kabisa. Yaani Kanumba angekuwepo leo angekuwa ashacheza na kina movie na kina Denzil washington labda hata angeshahamia Hollywood. Kanumba alikuwa ana uthubutu sana katika kazi zake.Umeona mange amekachamba,,tena kasema wasimchokonoe asijeongea ya marehem seki ,,inaonekana lulu ana kitu sio bure