MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 966
- 1,225
Ok, tufahamishe basi, wazee wa baraza kwa nini wapo mahakamani? Na wapo kwa ajili gani?Jaji halazimiki kufuata maoni ya wazee wa baraza
Hii ni comment mbovu kuona tangu nijiunge JFKitu Kama hisho hakiwezi nikuta kamwe.Style ya maisha yangu haiwezi niweka kwenye mazingira kama hayo.
Hii inakubalika kwa upande mmoja, Tuzungumzie positive side na negative side, katika negatve side wewe unamuita mtoto lakini mtoto huyo alikuwa anaweza kubeba wanaume na tayari alikuwa ni mzoefu wa kujamiiana(na tatizo lilikuwa ni la kimapenzi), je atakuwa hana uwezo hata wa kusukuma mtu akaanguka? Huu ni mtazamo tu katika kuchangia...Kihalali hata hicho kifungo cha nje sio haki kwa Lulu, yangekua ni mazingira ya sumu tungeamini kua Lulu alifanya yake lakini sio tukio kama lilivyoripotiwa kutokea. Lulu kwa umri na umbo alilokua nalo kipindi kile ni vigumu kuiaminisha jamii kua anaweza kumua Kanumba kwa kipigo.
Wakimnyoa lulu wanaweza kumpiga mbya ya Miaka 5Hivi case ya kuua bila kukusudia ya Oscer Pistorios wa south africa ilikuaje? hukumu ya jamaa nakumbuka ilikua ni kifungo. Japo mambo ya sheria nayo hutegemea na ushahidi na utetezi case zinaweza kufanana lkn hukumu ikatofautiana
Lulu ana tabia za ajabu akipelekwa huko atakaa sawa labda,atalima,atashona etcMANYAMPALA WATAMFAGILISHA YULE DAAAH SIPATI PICHA ILA ALL IN ALL JELA SIO KUZURI PASIKIENI MI NILIWAHI KUGOMA KUOSHA VYOMBO SEGEDANSI KM MIA HVIE DAAH NILIPIGWA LUNGU HAZIESABIKI MUNGU MSAIDIE CHALII LULU ACHOMOKE SALAMA JELA SIO KUZURI PASIKIENI MANYAMPALA SIO WATU WA MCHEZOMCHEZO
Umeona eee!Leo humu hata waliosoma sayansi kimu wamekuwa wanasheria,kwa mahakama ya JF ameshakula mvua
Ni upuuzi kufananisha uhai wa mtu na uji. Acheni kucomment kishabiki.Kutokukusudia ina maana nia haikuwepo ni tokeo lilotokea sio kwa kufanya kitu hicho unasonga ugali lakini kwa bahati mbaya huna unga wa kutosha unakuwa uji. Je utaadhibiwa kwa kupika uji?
Attitude inaweza kuwa imemponza
Ukiwaona alikufa kabla ya hukumu yake;hata kesi yenyewe haikufikia hii hatua ya Lulu ila alikua nje kwa dhamana na yeyeUkiwaona Ditopile Mzzr alipata adhabu gani?
YapNaweza ku predict unatokea chugga... Right?
ula wewe na familia yakoAle mvua za kutosha hakuna namna.