Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

Utaratibu hauko hivyo, ila kinachonishangaza ni kwa nini Lulu hajapelekwa jela ili hukumu isomwe akitokea jela? Unakumbuka kesi ya Dr Murray wa Michael Jackson alikuwa nje kwa dhamana ila siku mahakama ilipomtia hatiani alipigwa pingu na kupelekwa jela kusubili tarehe ya hukumu.
Kama Lulu ameachwa uraiani anao uhuru wa kuruka dhamana na kuikimbia hukumu. Kuna tatizo kwenye mfumo wetu wa mahakama.

Ila msimamo wangu tangu day one mpaka leo haujabadirika Kanumba alikuwa mbakaji tu.

Kuna mzee wangu mmoja alikuwa mzee wa baraza kwenye kesi ya Zombe kwa sasa ni marehemu, ni magumashi matupu, hao wazee waliwadharau hawajanusisha pesa, ni kitu kisichowezekana wote wawe na msimamo mmoja, na hakuna mwanasheria katika hao.

Nazishauri mamlaka husika ni wakati muhafaka sasa kwa kazi hii kupewa mahakimu wastaafu, majaji wastaafu, Madpp wastaafu, na wanasheria waliostaafu kupractice law.

Hawa wazee wengi wao wakati kesi inaendelea huwa wamelala kama Wasira bungeni.
NdioMaana hapo juu nimesema Lay Assessors ni kama Debe tupu, mawazo yao ni ya ki_layman, hayawezi kuwa binding kwa Courts of records.
 
Wanaoongeaga fact hufanani nao ata robo..huna ata hadhi ya kuwa na Lulu wewe. So acha kujipa sifa za kijinga. Watu wa aina yako type yako kina kajamba nani...em pita kule
Hivi kipimo cha hadhi siku hizi ni kutembea na Lulu.Kutembea na lulu wengine ni fedheha sio hadhi
Arafu unaonekana kama malaya uliyekosa soko kutokana na jpm kubana mafisadi
 
pole sana elizabeth michael 'lulu'
hukutegemea kama haya yote yangekutokea na sio wote wanaoenda jela ni wenye hatia.

me na imani ukweli hautojificha,japo sheria inachukua nafasi yake na kutoa maamuzi,lakini you will be free.

am still praying for you.
 
pole sana elizabeth michael 'lulu'
hukutegemea kama haya yote yangekutokea na sio wote wanaoenda jela ni wenye hatia.

me na imani ukweli hautojificha,japo sheria inachukua nafasi yake na kutoa maamuzi,lakini you will be free.

am still praying for you.
Unafiki mtupu!! Unatafuta like tu hapa.Eti unamuombea.
 
Hivi kipimo cha hadhi siku hizi ni kutembea na Lulu.Kutembea na lulu wengine ni fedheha sio hadhi
Arafu unaonekana kama malaya uliyekosa soko kutokana na jpm kubana mafisadi
Wee ndo utakua malaya uliyechuja mbele na nyuma.
Fala wee. Umezoea kutiwa ndo upate ela eee ...jitie mwenyewe mshezi wewe.. kwanza uandishi wako unaonesha how low yur..bastad plus plus. Uje nikukune basi nikupe angalao family.
Ms....
 
Pia kwa jaji mwenye "akili" anaweza kutumia fursa hii kutoa fundisho kwa jamii, kila mtu karibu anamjua lulu, hivyo akipewa adhabu kali hadi watoto watajua kuwa wakifanya hiki basi hiki chaweza tokea.
Iko mikononi mwa jaji sasa hii.

Fundisho gani mkuu
 
Again ,maadam tunaishi kwenye nchi ya kusadikika hata maamuzi yake yatakuwa hivyo,kwa ushahidi gani uliotolewa mahakamani ?hakuna ripoti ya doctor?hakuna foresinc report kuhusiana na kesi hii,hakuna ripoti inayotuambia Kanumba alikufa kwa sababu zipi;na elewa ni muhimu jaji ajiridhie bila shaka kuwa mtuhumiwa aliuwa;ndio tatizo za mahakama zetu nazo kuendeshwa kimihemko.
Ripoti ya daktari ipo.
 
Duuuh kushindwa kesi na mtu aliye mfu!!!! Kweli sheria sio kitu ya muchezo muchezo
 
Back
Top Bottom