Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

MANYAMPALA WATAMFAGILISHA YULE DAAAH SIPATI PICHA ILA ALL IN ALL JELA SIO KUZURI PASIKIENI MI NILIWAHI KUGOMA KUOSHA VYOMBO SEGEDANSI KM MIA HVIE DAAH NILIPIGWA LUNGU HAZIESABIKI MUNGU MSAIDIE CHALII LULU ACHOMOKE SALAMA JELA SIO KUZURI PASIKIENI MANYAMPALA SIO WATU WA MCHEZOMCHEZO
 
Kitu Kama hisho hakiwezi nikuta kamwe.Style ya maisha yangu haiwezi niweka kwenye mazingira kama hayo.
Hii ni comment mbovu kuona tangu nijiunge JF
kwani wewe unaishi peke yako hapa duniani had yasikukute. Katika mazingira tunayoishi binadam hii inaweza kukukuta popote na muda wowote as long as you not static.
Na hata kama umeganda kama mti hauna movement yoyote mtu anaeza akaja akajigonga kwako na akapoteza maisha and you will be in case.
 
Kihalali hata hicho kifungo cha nje sio haki kwa Lulu, yangekua ni mazingira ya sumu tungeamini kua Lulu alifanya yake lakini sio tukio kama lilivyoripotiwa kutokea. Lulu kwa umri na umbo alilokua nalo kipindi kile ni vigumu kuiaminisha jamii kua anaweza kumua Kanumba kwa kipigo.
Hii inakubalika kwa upande mmoja, Tuzungumzie positive side na negative side, katika negatve side wewe unamuita mtoto lakini mtoto huyo alikuwa anaweza kubeba wanaume na tayari alikuwa ni mzoefu wa kujamiiana(na tatizo lilikuwa ni la kimapenzi), je atakuwa hana uwezo hata wa kusukuma mtu akaanguka? Huu ni mtazamo tu katika kuchangia...
 
Hivi case ya kuua bila kukusudia ya Oscer Pistorios wa south africa ilikuaje? hukumu ya jamaa nakumbuka ilikua ni kifungo. Japo mambo ya sheria nayo hutegemea na ushahidi na utetezi case zinaweza kufanana lkn hukumu ikatofautiana
 
Hivi case ya kuua bila kukusudia ya Oscer Pistorios wa south africa ilikuaje? hukumu ya jamaa nakumbuka ilikua ni kifungo. Japo mambo ya sheria nayo hutegemea na ushahidi na utetezi case zinaweza kufanana lkn hukumu ikatofautiana
Wakimnyoa lulu wanaweza kumpiga mbya ya Miaka 5

Ova
 
MANYAMPALA WATAMFAGILISHA YULE DAAAH SIPATI PICHA ILA ALL IN ALL JELA SIO KUZURI PASIKIENI MI NILIWAHI KUGOMA KUOSHA VYOMBO SEGEDANSI KM MIA HVIE DAAH NILIPIGWA LUNGU HAZIESABIKI MUNGU MSAIDIE CHALII LULU ACHOMOKE SALAMA JELA SIO KUZURI PASIKIENI MANYAMPALA SIO WATU WA MCHEZOMCHEZO
Lulu ana tabia za ajabu akipelekwa huko atakaa sawa labda,atalima,atashona etc

Ova
 
Tushachoka na hii kesi, kama ana hatia ashtakiwe kama hana hatia aachiliwe
 
Kutokukusudia ina maana nia haikuwepo ni tokeo lilotokea sio kwa kufanya kitu hicho unasonga ugali lakini kwa bahati mbaya huna unga wa kutosha unakuwa uji. Je utaadhibiwa kwa kupika uji?
Ni upuuzi kufananisha uhai wa mtu na uji. Acheni kucomment kishabiki.
 
Attitude inaweza kuwa imemponza

Undoubtedly. I think you are right, and you also have the issue of social political optics which can kill you here.

Mama Kanumba anadandia bajaji nje ya mahakama, anachekwa hakuachiwa urithi lakini effectively anatuma ujumbe mzito wa "mnyonge mnyongeni."

On the other hand Lulu anakuja mahakamani kabebwa na misafara ya ma Sports Utility Vehicle yanayoendeshwa na wanasheria wa CHADEMA. Yusuph Manji aliwakataa mawakili wa CHADEMA, na ikaja kulipa.

Huwezi kusimama kwenye podium Makao Makuu Ufipa ku host press conference kama wewe sio mwanachama-mtembea-na-kadi wa CHADEMA, unapochukua lawyer kama huyo unapita nae mitaani na misafara kwenye kesi dhidi ya Jamhuri hujui hawa majaji, wazee wa baraza, waendesha mashitaka, wana mirengo gani ya kisiasa, utamalizwa!
 
Nasikitika hao wazee binti hawakuona kuwa huyu binti hana hatia, sijui hawana watoto huko majumbani kwao, yeye ndio victim I believe judge ataliona hili.
 
Yeye kaua bila kukusudia,Na aliyekufa akitaka kumbaka???Kwa hyo angetulia abakwe samahani kama kuna lugha itawakwaza.
 
copy and paste..
Self-Defense


Self-defense defenses against a voluntary manslaughter charge work slightly differently than they would for a murder charge. When defendants raise self-defense in a murder case, the type of self-defense they claim can be either perfect or imperfect.

A perfect claim of self-defense occurs when there is a reasonable need for deadly force to protect ones life and involves no wrongdoing on the part of the defendant. An imperfect self-defense claim involves an unreasonable belief that deadly force is necessary, some bad behavior on the part of the defendant, or both.

For example, if the defendant was the aggressor in the situation, but still had to use deadly force to protect their life, the claim of self-defense is imperfect.

In a murder case, a successful perfect self-defense claim will result in an acquittal; an imperfect claim will usually result in a reduction to a manslaughter charge.


In a manslaughter case, the only type of self-defense claim available is a perfect self-defense claim.
An imperfect self-defense claim in effect is an admission that the defendant did in fact commit voluntary manslaughter.
Dragoon naomba usome hizo sentensi mbili bolded unipe wazo lako. Lulu angepata wakili mzuri angeliweza kujenga utetezi wake akijikita hapo. Fortunately walkuwa wawili chumbani! Tunaelimishana na sio tunaingilia mahakama!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom