Wazee Kumi na Saba (17) Waliodai Uhuru wa Tanganyika

Hivi inakuwaje hawa jamaa watumie "Sykes" kama jina la ukoo wakati wao siyo tu ni Waislamu bali ni Wabantu pure na siyo machotara? Nilidhania Wakristo pekee yao ndiyo wana tabia ya kujikomba kwa Wazungu. Just thinking out aloud, folks.
Sykes siyo Wabantu, ni machotara wa Afrikaans toka Afrika Kusini kazi yao walikiwa Wapagazi. Wakaloweya Tanganyika na hatimaye kusilimu. Tukifuatilia asili za kale, tutajokuta Watanzania halisi tuu wachache sana na juhudi zao hazitambuliki, zinatambulika za watu wa kuja!.
 
Afrikaans aka Makaburu hawatumii "Sykes". Hilo ni jina la Kiingereza. Kwa vyovyote vile, kwanini wang'ang'anie "jina la ukoo" la Kizungu wakati wao ni Waislamu na Wabantu? Kama siyo kasumba ni nini? Nenda Zanzibar utakuta Wabantu weusi wenye vipilipili kama Alhaji Idi Amini au Alhaji Yahya Jammeh wa Gambia, lakini wanatumia "Sharif" kama jina la ukoo, na watakwambia wao siyo Wabantu bali ni Waarabu aka Wamanga.
 
Lakini kasumba hiyo unayozungumzia inawahusu asilimi 90 ya Watanzania.. Wote wanatumia majina ya aidha wazungu ama waarabu kwa sababu ndio walotutawala na pengine hata kuamini kwamba bila majina haya huwezi kuwa Muislaam au mkristu wa kweli..KUBATIZWA ana KUSILIMU kumeondoa maana ya kuabudu na kuwa jina ndilo ID ya muumini..Kuna kina Deograsias, Latenatus, Fortunatus, John, Paul, Benadict na kadhalika haya huwezi kuyaweka sehemu moja tu. Utumwa ulikuja na mengi baba!
 
Sijawahi kusikia Mbantu, akidai kutambulika kama "mpigania Uhuru" huku akitumia jina la ukoo linaloendana na historia ya utumwa na ukoloni wa Kiingereza na linalopingana moja kwa moja na imani yake ya Kiislamu na uhalisia wake wa "kizawa". By the way, si ndiyo hawa kina "Sykes" ndiyo waliyokuwa vinada miaka si mingi ya nyuma, wakidai sera na sheria maalamu za kuwalinda "wazawa" kibiashara dhidi ya Wahindi na Wahamiaji wengineo?
 
Kumekuwa na manung'uniko ya muda mrefu kutoka miongoni mwa watu waliojitolea kwa hali na mali kuutafuta huu uhuru tunaojidai nao leo,kwamba baada ya uhuru kupatakana mtu mmoja julius nyerere akawatenga wenzake ambao wengine inasemekana ndio walikuwa waasisi hasa wa harakati za kuudai uhuru kabla ya nyerere kuja kujiunga na kuongeza nguvu kwenye harakati hizo,watu kama mzee Sykes,hapa namzungumzia Ally sio yule mdogo wake Abbas ambaye yeye angalau alipata pata nafasi kwenye serikali ya uhuru akianza na kazi ya ukuu wa mkoa wa dar na kuingia kwenye rekodi ya kuwa mkuu wa mkoa wa kwanza mweusi!!!je nyerere kwanini hakumjumuisha Ally Sykes katibu mkuu wa kwanza wa TANU mtu ambaye inasemekana ndio alichapisha kadi za kwanza za TANU kwa pesa yake mfukoni na kumpa kadi namba moja mwalimu na yeye kuchukua kadi namba mbili ili kuonyesha heshima kwa mwalimu,wangi wanaonung'unika kusahauliwa hata kutajwa tu Ally ni mmoja wapo,kwanini nyerere alifanya hivyo kwa hao na kumkumbatia "mgeni" kambona ambae hakua muasisi wa tanu na mpigania uhuru mzalendo aliyejitolea kama kina nyerere bali alijiunga tanu kama muajiriwa na kulipwa mshahara?????
 
Ally Sykes alikuwa mfanyibiashara. Hakutaka kufanya kazi serikalini. Tafuta suala jengine. Mdogo wake Dossa Aziz, Hamza alikuwa mkuu wa polisi. Kambona hakuwa mgeni. Alijiunga na TANU na kufanya kazi bila malipo. Tafuta kisa kingine. Otherwise kajiunge kule kwenye kundi la Mohamed Said na akina Faiza Foxy badala ya kuanzisha mjadala mpya.
 
Labda kuna baadhi yao walionekana wanapigania uhuru kwa ajili ya kujinufaisha wao binafsi na sio kwa maslahi ya Watanganyika kwa ujumla. Aliona akiwapa nafasi serikalini watakuwa mwiba. (Ni mtazamo tu).
 
Sewa Said Sewa = Tewa Said Tewa
Abdulah Sykes = Abdul Wahid Sykes

Tafadhali kuwa makini, usibadili majina ya watu, si vyema.

Mkuu Faiza pokea heshima. Nilishaomba samahani kabla kwa makosa yoyote ya majina ya wahusika. Mimi ni mwanadamu tu mama na makosa ni kawaida, tuwiane radhi. Hata hivyo taarifa zimerekebishwa kama ulivyowasilisha Mkuu ikiwa ni pamoja na "Kasela-Bantu" badala ya "Kasela Mbantu" ambaye inaonekana hutaki hata kufuatilia usahihi wa jina lake zaidi ya ulowataja.
 
Ally Sykes alikuwa mfanyibiashara. Hakutaka kufanya kazi serikalini. Tafuta suala jengine. Mdogo wake Dossa Aziz, Hamza alikuwa mkuu wa polisi. Kambona hakuwa mgeni. Alijiunga na TANU na kufanya kazi bila malipo. Tafuta kisa kingine. Otherwise kajiunge kule kwenye kundi la Mohamed Said na akina Faiza Foxy badala ya kuanzisha mjadala mpya.
Ww ulimuona yeye mwenyewe akikataa kufanya kazi za TANU na Serikali na kuamua kufanya biashara tu? Au ndivyo 'ulivyolishwa' hivyo? Tufafanulie.
 
Hakuna kipya hapa. Huyu ni mhitimu wa msimulizi wa historia ya wazee wa gerezani, anajaribu kumuonyeasha mwalimu wake kwamba amefuzu. Jasusi umemjibu vizuri sana, hakuna cha ziada hapa.
 
Ally Sykes alikuwa mfanyibiashara. Hakutaka kufanya kazi serikalini. Tafuta suala jengine. Mdogo wake Dossa Aziz, Hamza alikuwa mkuu wa polisi. Kambona hakuwa mgeni. Alijiunga na TANU na kufanya kazi bila malipo. Tafuta kisa kingine. Otherwise kajiunge kule kwenye kundi la Mohamed Said na akina Faiza Foxy badala ya kuanzisha mjadala mpya.

Sahihi maana naona huyu naye katumwa au kajituma kuja kujaribu kumpaka matope Mwalimu Nyerere
 
Ww ulimuona yeye mwenyewe akikataa kufanya kazi za TANU na Serikali na kuamua kufanya biashara tu? Au ndiovyo 'ulivyolishwa' hivyo? Tufafanulie.

kwani wewe ulilishwaje!? Kwa hiyo kumbe wewe ulimuona!!? Hebu wewe Tufafanulie!
 
Ww ulimuona yeye mwenyewe akikataa kufanya kazi za TANU na Serikali na kuamua kufanya biashara tu? Au ndiovyo 'ulivyolishwa' hivyo? Tufafanulie.

Uliza mambo yaliyopo achana na ya Marehemu, taka kujua kwanini EL kafanya mikakat yotei ya kumwingiza Kikwete madarakani lakini Kikwete akaamua kumsaliti baada ya kujiuzulu ili kuilinda serikali na yeye mwenyewe Kikwete asiporomoke madarakani!
 
Hakuna kipya hapa. Huyu ni mhitimu wa msimulizi wa historia ya wazee wa gerezani, anajaribu kumuonyeasha mwalimu wake kwamba amefuzu. Jasusi umemjibu vizuri sana, hakuna cha ziada hapa.

ni kweli, huyu jamaa baada ya kujifunza theoretically naona sasa amekuja kufanya practical, lakini unaweza shangaa akaondoka na paper nyingi halafu nyingi ya hizo zimejaa pumba.
 
Abdul Wahid Sykes ndiye alimpokea Nyerere akamkaribisha nyumbani kwao alipotokea Pugu.

Inawezekana kabisa kuwa kawataja 17 kama unavyosema, wala sina ubishi kwa hilo, nnachosema mimi, "Kwa mara ya kwanza kwenye sherehe za Uhuru Abdul Wahid Sykes amekumbukwa Rasmi. Sijawahi kusikia kabla ya sherehe hizi za Uhuru.

​Faiza, kwani ulikuwa umewahi kumsikia Lameck Makalanga Bogohe ametajwa kwenye sherehe za uhuru?
 
Mkuu Faiza pokea heshima. Nilishaomba samahani kabla kwa makosa yoyote ya majina ya wahusika. Mimi ni mwanadamu tu mama na makosa ni kawaida, tuwiane radhi. Hata hivyo taarifa zimerekebishwa kama ulivyowasilisha Mkuu ikiwa ni pamoja na "Kasela-Bantu" badala ya "Kasela Mbantu" ambaye inaonekana hutaki hata kufuatilia usahihi wa jina lake zaidi ya ulowataja.

Mpuuzi huyu, mdini,mbaguzi wa wazi wazi ila anatakiwa tu ajue kuwa kuna wenzake huwa hawataki sana kutetewa maana utendaji wao na umaarufu wao uko wazi. Watu wa kulalama kila siku ni watu gani ? Kufanya kazi wavivu, wanapeana kazi kwa majina siyo kwa utendaji mzuri wala qualifications. Achana nao tunajua hawafiki popote hawa.
 
Back
Top Bottom