Kwa mara ya kwanza kwenye sherehe za Uhuru Abdul Wahid Sykes amekumbukwa Rasmi. Sijawahi kusikia kabla ya sherehe hizi za Uhuru.
Samahani mama sitaki kukuvunjia heshima yako, hawa kina Syskes ni wakwe zako? Jina la Syskes sio geni kwenye harakati za uhuru wetu tulifundishwa miaka mingi sana sasa ukisema hujawahi kulisikia likitajwa inanishangaza sana labda ni katika hicho kipindi cha miaka 30 uliyokuwa nje ya Tanzania, hebu jaribu refresh kumbukumbu zako.
Chama
Gongo la Mboto DSM.