Wazee Kumi na Saba (17) Waliodai Uhuru wa Tanganyika

Wazee Kumi na Saba (17) Waliodai Uhuru wa Tanganyika

Ni kweli leo jk kakata mzizi wa fitina na hasa ameumbuka mumeo mohamed said, wewe ff, ritz, et al ambao mmekuwa mkitaka kutuaminisha humu ndani ya jf kuwa waasisi wa kudai uhuru wa tanganyika walitokea dar es salaam tu tena kariakoo na gerezani na ni waislam tu kumbe waasisi walitokea na sehemu nyingine za tanganyika na pia hawakuwa waislam peke yao ila watu madhehebu mengine.

Na ndo maana ili kuweka kiinimacho cha kuumbuka kwenu mmebaki kushupalia kuwa ni sykes tu ndo alikuwa hatajwi kumbe na wengine lukuki walikuwa hawatajwi! loo aibu kwenu!

Kaka unarusha kavu kavu mno! Lakini walilianzisha wenyewe na ki-makala chao wakidhani watu ni wajinga kama wao kumbe wanawalia mingo tu! Sasa walinywe! Historia ya Tz imeandikwa upya leo. Siku ya leo nina furaha ya ajabu! Hata heshima ndani itarudi leo. Walinichosha washenzi wale.
 
Finaly sio nyerere peke yake! maana duh! ....

shukran kikwete!
 
Finaly sio nyerere peke yake! maana duh! ....

shukran kikwete!

You are absolutely right! Lakini ni Nyerere aliyesaini na kukabidhiwa rasmi hati za uhuru wa nchi kutoka kwa Malkia na akawa rais wa kwanza wa Tanganyika Huru. Penda usipende, kubali usikubali hiyo ndio historia and it will never change forever.
 
Katika hotuba inayoendelea sasa hivi Uwanja wa Uhuru, katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru, Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewataja watu 14 Muhimu ambao amesema "bila ya wao leo hii tusingekuwa tunasherehekea Uhuru, labda sisi ndio tungekuwa tunadai Uhuru". Kwa mara ya kwanza nasikia Abdul Wahid Sykes akikumbukwa rasmi kwenye sherehe za Uhuru kwa mchango wake.

Ahsante Kikwete.

Napata shaka kuhusiana na hoja yako, ni kwanini ufurahishwe zaidi na uwepo wa Sykes wakati tumeambiwa waasisi walikuwa kumi na saba? Binafsi nilikuwa siwafahamu hao wengine lakini nimefarijika sana baada ya kuwasikia, tena bila ya kuwabagua. Au mwenzetu hutambui michango ya hao wengine? Rai yangu ni kwamba UTAIFA uwe mbele.
 
Lakini mbona Historia imewataja vizuri na sehemu nyingi? Inaonyesha JF members wengi wetu hatutambui kina nani na michango yao mbalimbali katika kuasisi Taifa hili. Tena wengi wao hawa ndiyo walishiriki kikamilifu kuiua TAA na kuleta TANU.
 
You are absolutely right! Lakini ni Nyerere aliyesaini na kukabidhiwa rasmi hati za uhuru wa nchi kutoka kwa Malkia na akawa rais wa kwanza wa Tanganyika Huru. Penda usipende, kubali usikubali hiyo ndio historia and it will never change forever.

you are missing a point here mate!....

tatizo kwa nini kila kitu nyerere.. ?? itakuja kizazi kitakuja kujua nyerere ndiye aliyefanya mambo yote kumbe alipewa jukumu la kuweka saini "according to u" kwanini hawa wengine waliotajwa hapo juu hawazungumziwi ama wanazungumziwa kidogo sana katika harakati za uhuru...! Leo hii kila kitu nyerere... nilisikia campus ya mlimani pia yataka iitwe nyerere! inakera!
 
Mkuu wangu tuwe wakweli. Si haki kusema kila kitu ni Nyerere. Mbona wazee wetu wengi tu ambao hata hawakushiriki kwa sana katika harakati za uhuru wameenziwa sana tu? Kwa uchache ni hawa wafuatao na jinsi wanavyoenziwa:

1. Rashid Mfaume Kawawa (Kawawa Road - Dar, Moshi)
2. Bibi Titi Mohamed (Bibi Titi Road - Dar)
3. Shekilango (Shekilango Road - Dar).
4. Sykes (Sykes Str. - Dar).
5. Sewa Haji (Sewa Haji Ward - Muhimbili Hospital)
6. n.k. list ni ndefu.

Au wewe unataka iwe je?
 
Safi! Hiyo ndio aina ya michango inayotakiwa kuenziwa katika hoja hii ya kudai uhuru wa taifa letu. Na sio upuuzi eti ndiye alimkaribisha Nyerere home, akampa supu ya pweza, mara, wakacheza bao, so what...? Ujuha mtupu!
Kweli mkuu watu wanataka kila hata aliyesalimiana na nyeree kanla ya uhuru akumbukwe huu ni ujinga mtupu.
 
Mkuu wangu tuwe wakweli. Si haki kusema kila kitu ni Nyerere. Mbona wazee wetu wengi tu ambao hata hawakushiriki kwa sana katika harakati za uhuru wameenziwa sana tu? Kwa uchache ni hawa wafuatao na jinsi wanavyoenziwa:

1. Rashid Mfaume Kawawa (Kawawa Road - Dar, Moshi)
2. Bibi Titi Mohamed (Bibi Titi Road - Dar)
3. Shekilango (Shekilango Road - Dar).
4. Sykes (Sykes Str. - Dar).
5. Sewa Haji (Sewa Haji Ward - Muhimbili Hospital)
6. n.k. list ni ndefu.

Au wewe unataka iwe je?

yaani kupewa majina barabara wadhani ndio njia ya kuwaenzi hao watu -

1 )Nyerere Road

2 )Kuna chuo cha nyerere kigamboni

3) uwanja wa ndege nyerere

4) mlimani kampasi - > nayo wanataka iitwe nyerere

5) kuna kigoda cha nyerere

6) nyerere day (why only nyerere na sio mashujaa wote)

bado hatujafika mikoani ....

this is too much ... kila kitu nyerere ...
 
UPDATES: Waasisi 17 wa Uhuru wetu kwa mujibu wa alivyowataja Mh. Rais hawa hapa:

Julius Kambarage Nyerere, Ali Sykes, Lameck Makaranga, Gosbert Milinga, Gelmandus Pacha, Joseph Kimalando, Japhet Kirilo, Abubakar Ilanga, Saadan Kandoro, Suleiman Kitwara, Kisunguta Kabara, Chewa Said Chewa, Dosa Aziz, Patrick Kunambi, Joseph Kasela Mbantu, John Rupia, Abdulah Sykes.

Samahani mleta mada dudus, kuna jina la mwasisi mmoja umeliikosea, ni TEWA SAID TEWA (ambaye alikuja baadaye kuteuliwa kuingia kwenye baraza la kwanza la mawaziri wa Tanganyika huru) na siyo Chewa Said Chewa, nawasilisha!!!
 
Samahani mleta mada dudus, kuna jina la mwasisi mmoja umel9ikosea, ni SEWA SAID SEWA siyo Chewa Said Chewa, nawasilisha!!!

Asante kwa taarifa Mkuu. Taarifa zimerekebishwa.
 
yaani kupewa majina barabara wadhani ndio njia ya kuwaenzi hao watu -

1 )Nyerere Road

2 )Kuna chuo cha nyerere kigamboni

3) uwanja wa ndege nyerere

4) mlimani kampasi - > nayo wanataka iitwe nyerere

5) kuna kigoda cha nyerere

6) nyerere day (why only nyerere na sio mashujaa wote)

bado hatujafika mikoani ....

this is too much ... kila kitu nyerere ...

Mkuu wangu hapo ndipo tunapokosea! Japo wote ni waasisi pamoja na wengine ambao wana michango iliyotukuka kwa taifa letu lakini haiwezekani watu wote wakafanana Kaka! Watu wanatofautiana kwa jinsi walivyochangia kwa taifa lao.

Mbona kwa mfano Mh. Kikwete anazo shahada tatu za udaktari wa falsafa wakati Mzee Mwinyi anako kamoja tena ka hivi majuzi ilhali wote ni marais? Haitakaa watu wote wawe sawa Bro.

Nakushauri umwone Mbunge wako apeleke hoja Bungeni badala ya kulalamika humu. Mbona rahisi tu?
 
Sasa mimi nachanganyikiwa kabisa-Tewa said Tewa ndio nani??? maana naona jina linachanganywa sana

Ha ha ha ha ha! Wakiamua, usishangae akina FF et. al. wakakomalia hiyo na kutoka na "pepa ya uhakika" kisa jina japo pepa zenyewe mara nyingi huwa pumba tupu.
 
Hakuna upotoshaji hapo leo ndio katajwa Mzee wetu wa Kariakoo Gerezani, Tunashukuru sana Mohamed Said, kwa kuweka historia ya uhuru humu JF

kwa hiyo wazee wetu wamegeuka kuwa mzee wetu?!
Hebu tukumbushane, wazee wetu wa kariakoo gerezani ...... Yani kabisa yani....duh!!!
Yani hakina kabisa yani!!?
 
Ndivyo nilivyo kabisaaa na ni picha yangu halisi . Na nimevaa vazi langu hilo hilo la Taifa langu Oman kama linavyojionyesha kwenye Avatar.

Lakini pia unaweza nipigia simu namba ya Dereva wangu 255 777 420000. Ninapatikana. Kesho naenda Tabora insh'Allah

sasa kama wewe ni raia wa oman mambo ya TZ yanakuhusu nini? jihusishe na forums zinajishughulisha na mambo ya kwenu oman na sio kuchakachua mambo yetu watz! ndo nyie mnaowatumia watu wanaoabudu waarabu badala ya dini ili walete chokochoko za udini!
 
Mkuu wangu hapo ndipo tunapokosea! Japo wote ni waasisi pamoja na wengine ambao wana michango iliyotukuka kwa taifa letu lakini haiwezekani watu wote wakafanana Kaka! Watu wanatofautiana kwa jinsi walivyochangia kwa taifa lao.

Mbona kwa mfano Mh. Kikwete anazo shahada tatu za udaktari wa falsafa wakati Mzee Mwinyi anako kamoja tena ka hivi majuzi ilhali wote ni marais? Haitakaa watu wote wawe sawa Bro.

Nakushauri umwone Mbunge wako apeleke hoja Bungeni badala ya kulalamika humu. Mbona rahisi tu?

baelezeeeee!!!!
Baelezeee baelewe!!
 
Back
Top Bottom