Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,257
SawaWadau kuna vizee fulani vinapenda watoto wadogo wanawanyapia kwa vizawadi ndogo ndogo wakiwachukua toka shule nakuwaahidi uongo mwisho wenu mnawapa mimba na magonjwa yenye maambukizi kaeni wake zenu .
Waacheni watoto wasome.