katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Wadau kuna vizee fulani vinapenda watoto wadogo wanawanyapia kwa vizawadi ndogo ndogo wakiwachukua toka shule nakuwaahidi uongo mwisho wenu mnawapa mimba na magonjwa yenye maambukizi kaeni wake zenu .
Waacheni watoto wasome.
Waacheni watoto wasome.