Wazazi wote piteni hapa (miaka 20 ya maumivu)

Wazazi wote piteni hapa (miaka 20 ya maumivu)

Yuko sahihi kwa asilimia chache sana

Ile bond na nguzo walivyonayo sio replaceable mara nyingi.

Na ni kweli ndugu na jamaa wanaweza kutoa malezi bora kuwazidi wazazi. Ila bado mtoto hujiuliza as to why wazazi hawakumpatia malezi bora... And that's another version of trauma
Hakika mkuu.
Ndiyo nilikuwa nampa ratio huyo kijana hapo juu naona anapenda kubishana.
 
Hakika mkuu.
Ndiyo nilikuwa nampa ratio huyo kijana hapo juu naona anapenda kubishana.
Huyo anaoneka anashida ya kuona mambo kwa mapana. Au labda bado hajajifunza vyema mzizi wa addiction.

Lakini pia swala la malezi liko so intricate kujua inahitaji muda sana ujifunze experiencial wise
 
Tuache Mazingira.

Nadhan sasa uweke wazi tofauti ya Upendo wa Baba/Mama au wa mzazi wa upande mmoja na Malezi.

kuingia kwenye hiyo Kazi , weng ni mazingira. Na si Trauma ya kukosa upendo eti wa Baba au Mama.

wangap wamekua watu wazima ila hawawajui hata Baba/Mama zao?. Mbona hawajenda kucheza Porno?.
Mkuu, hayo si maneno yangu,ni maneno ya hao waliocheza hizo mambo. Kwa vinywa vyao walikiri kuingia humo kutokana na kukosa upendo wa wazazi wakiwa watoto na hata agents wanaotafuta waigizaji wanalenga zaidi kundi hilo. Na sio kila mtu aliyekutwa na hayo matatizo ataangukia humo, ila walioangukia humo asilimia kubwa wana majeraha ya utotoni, sijasema wote.
 
Huyo anaoneka anashida ya kuona mambo kwa mapana. Au labda bado hajajifunza vyema mzizi wa addiction.

Lakini pia swala la malezi liko so intricate kujua inahitaji muda sana ujifunze experiencial wise
Hapo kwenye kujifunza mzizi wa addiction asante kwa kukazia. Addiction yoyote ni dalili ya hitaji la ndani la mtu ambalo halikutimizwa. Huwezi kubugia cocaine huku ukijua hii ni cocaine out of nowhere,kuna kitu lazima kikusukume.
 
Na wengi, mimi nikiwemo sikuwa na hii awewareness, ila baada ya kujua tu nikaanza rasmi kuheal... Maana nyuma nilikuwa natumia will power bila kujua kiini cha hayo yote...

Mkuu naona uko vizuri sana kwenye haya maswala did you experience some form of addiction?
 
Pole mkuu kwa uliyopitia, binafsi nilijifunza kuhusu addiction out of curiosity nikiwa chuo maana nilikuwa nakutana na wale mateja wanaoenda kuchukua methadone Muhimbili kila siku asubuhi. Wale watu walivyo wengi ilinifanya nifuatilie kufahamu inakuwaje mtu anafikia hiyo hali ndo nikawa very deep kwenye hizi issues na hadi leo bado najifunza. Cha kuhuzunisha jamii yetu haina elimu hii kwa viwango vya kutosha na haya mambo yanazungumziwa kwa namna ya kuwaaibisha waathirika na sio kuchukulia kwamba huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
 
na haya mambo yanazungumziwa kwa namna ya kuwaaibisha waathirika
Hili nacho ni kifungo kingine
kuchukulia kwamba huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
Binafsi Sidhani kama addiction ni ugonjwa...

Addiction ni mechanism ya mwili kupata relief.. Ila inakuwa on the wrong compulsive things. Ni sauti ya kilio cha mwili kutaka kurudi kwenye equilibrium
 
Pole mkuu kwa uliyopitia, binafsi nilijifunza kuhusu addiction out of curiosity nikiwa chuo maana nilikuwa nakutana na wale mateja wanaoenda kuchukua methadone Muhimbili kila siku asubuhi. Wale watu walivyo wengi ilinifanya nifuatilie kufahamu inakuwaje mtu anafikia hiyo hali ndo nikawa very deep kwenye hizi issues na hadi leo bado najifunza. Cha kuhuzunisha jamii yetu haina elimu hii kwa viwango vya kutosha na haya mambo yanazungumziwa kwa namna ya kuwaaibisha waathirika na sio kuchukulia kwamba huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
Shukran mkuu

Unajua kuja ukaelewe hizi dynamics kwa wing huwa mpaka upitie ndo maana wengi huishia kusoma tu ila kuleta change haiwezekani
 
binti kiziwi
Kwenye kitabu cha the body keeps the score wame Elezea kidogo kuhusu how trauma narrows vision

Yaani unakuwa na point of view inayo uwiana na Maumivu ubebayo, to the point other people's point of view hazi make sense kwako.
Sijakisoma…. i will have a look.

Majukumu yanatufanya tupunguze kushika vitabu, tukipata ka muda kidogo tunakimbililia kuscroll ticktock. 😅😭

Kuna mtu above hapo ameccomment, huwa anasoma vitabu kama kichaa, nafikiri amekula vitabu hata buku. If you want a book club atakukuconect some days.
 
Hili nacho ni kifungo kingine

Binafsi Sidhani kama addiction ni ugonjwa...

Addiction ni mechanism ya mwili kupata relief.. Ila inakuwa on the wrong compulsive things. Ni sauti ya kilio cha mwili kutaka kurudi kwenye equilibrium
Namaanisha, waraibu wasichukuliwe kama wahalifu,wachukuliwe kama watu wanaopitia changamoto ambazo ziko nje ya uwezo wao. Kama ambavyo ukiskia mtu anaumwa Malaria haumuhukumu, vivyo hivyo ukiwaona waraibu usiwahukumu.
 
Shukran mkuu

Unajua kuja ukaelewe hizi dynamics kwa wing huwa mpaka upitie ndo maana wengi huishia kusoma tu ila kuleta change haiwezekani
Nashukuru mimi nilifanikiwa kuelewa kupitia wale watu niliokuwa nakutana nao, wao ndo walifanya mtazamo wangu kuhusu uraibu ubadilike kabisa.
 
Wengi hudhani wacheza porno wanapenda...

Hawapendi the actual act wa kucheza porno, wanacho kuipata pale ni ile validation, na ile pesa anayolipwa ndo temporary price inayo mfanya arudie tena next time..

Wengi huja kuwa na majuto, afya mbaya ya akili na uteja, ila sisi watazamaji hatuoni kitu Kama hicho, mm naona hiyo ni addiction kama zilivyo nyingine tu.. Until urudi kwenye mzizi wa kujua you are enough.. The chase will never end.
Na mbaya zaidi hao wacheza porno hufa kabla hawajafika miaka 35, wengi hufa kwa kujiua au kwa matumizi ya madawa ya kulevya. Ili mtu achanganyikiwe kiasi cha kuvua nguo na kuruhusu watu wamrekodi anafanya uchafu, lazima cocaine na heroine za kutosha azigonge. Ukifika location hata kama ndo siku ya kwanza unapewa cocaine na wale watayarishaji ndo mambo yanaendelea. Kwahiyo hao waigizaji wote ni addicts wa madawa ya kulevya pia na wengi hutumia hadi kufikia kiwango cha kuwaua.
 
Kwa Kuongezea ulichosema,.

parenting hainaga formula,its almost like guesswork.You can give your kids the so called good parenting only for them to end up Vile hukupenda,,

You can also do the vice versa,nimeona watoto waliokulia in a hostile, unhospitable homes but they come out straight as my Big Black D*ck.

Kama Mzazi all you can do is your best and hope mtoto hatakua kichwa maji., Akiwa kichwa Maji its not your fault,you did your part.

Let nature do its part. And I dont think it has anything to do with environment or single parenting(sijasema single mother).

Samuya grew with both parents,Look what he has turned to become,..
Mkuu, mtoto akipata malezi mazuri inapunguza uwezekano wa kuangukia kwenye makundi mabaya baadae, tabia alizonazo mtoto leo zinaamua baadae atakuwaje. Mimi binafsi nilifanya utafiti mdogo nikachunguza classmates wangu wa sekondari kwa sasa maisha yao yapoje, wale ambao walikuwa na tabia zisizoeleweka toka tukiwa shule pia hata sasa wana maisha fulani hivi yasiyoeleweka. Simaanishi kiuchumi, namaanisha kifamilia. Kwanza walizalishwa wakiwa chuo, wakaachana na mabwana zao kisha wakaja kuzalishwa na watu wengine na ndo wanaendelea hivyo hivyo. Wale ambao walikuwa wana mienendo mizuri tukiwa shule hadi sasahivi wamenyooka hata baada ya miaka mingi kupita.
Kwahiyo wewe mzazi timiza wajibu wako, maisha ya baadae ya mwanao yanategemea tabia anazozionesha sasa.
 
Hata wazazi ambao hawajui how deep this issues are huwa wanakuwa na comparison zisizo na mashiko...

Na hii ni defensive mechanism...

Unavyo kuwa ndani ya trauma meta cognition huwa ina kuwa disabled.
Tena hapa kwetu, wazazi, ndugu, jamii wana defensive mechanism za hivyo.
 
Mkuu, mtoto akipata malezi mazuri inapunguza uwezekano wa kuangukia kwenye makundi mabaya baadae, tabia alizonazo mtoto leo zinaamua baadae atakuwaje. Mimi binafsi nilifanya utafiti mdogo nikachunguza classmates wangu wa sekondari kwa sasa maisha yao yapoje, wale ambao walikuwa na tabia zisizoeleweka toka tukiwa shule pia hata sasa wana maisha fulani hivi yasiyoeleweka. Simaanishi kiuchumi, namaanisha kifamilia. Kwanza walizalishwa wakiwa chuo, wakaachana na mabwana zao kisha wakaja kuzalishwa na watu wengine na ndo wanaendelea hivyo hivyo. Wale ambao walikuwa wana mienendo mizuri tukiwa shule hadi sasahivi wamenyooka hata baada ya miaka mingi kupita.
Kwahiyo wewe mzazi timiza wajibu wako, maisha ya baadae ya mwanao yanategemea tabia anazozionesha sasa.
Umeongea Vizuri and mtoa maada kuna namna anachanganya Mambo tho ana point,,Hasa akiongelea addiction,.

Mimi nishakua an addict wa madawa kuna Uzi ulikua unazungumzia hayo niliongea the causes and withdrawal...

Tujue kua physical dependence na behavioral problem ni vitu viwili TOFAUTI,..
 
Strong ladg na Elevenn nawaona wakuu.hongereni sana.

Hivi vitu viko indeep sana ni vile watu huenda wasitake kuelewa kwa sababu huenda wameshatengana na wenza wao teyari.

Lakini suala la malezi watu wanapaswa kujua kabla hawajatupiwa wanajamii wengine linaanza kwa BABA NA MAMA.OutOf kila mtu atajilaumu na kujifariji ujinga maisha yake yote.
 
Back
Top Bottom