Kamawewe
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 529
- 512
Habari Wakuu, kwanza ninawapa hongera kwamba pamoja na JF katika siku za karibuni kuvamiwa kwa posts za hovyo hasa kutoka kwa wadogo zetu amboa nina imani hali itapungua wakianza kusoma vyuoni October kama sikosei bado JF is good for knowledge and entertaiments.
back to topic: Ni mara nyingi tumeshasikia wazazi au ndugu wakikataa kutoa ushirikiano kwa kijana wao kisa hawataki kabila la mkwe wao mtarajiwa kisa hofu ya kijana wao kuangamizwa ingawa ni busara kumhukumu mtu kwa alivyo si kwa kabila.
Hapa TZ wahanga wakubwa wa tatizo hilo ni Wanaume wa Makabila mbalimbaLI waliowapenda na kutaka kuwaoa mabinti wa Kichaga, jamani hii issue is very complicating omba usikutane nayo, na huwezi amini hii ni moja ya sababu inayofanya baadhi ya Wanaume wasitamani kuoa au wawe si waaminifu kwa sababu wakushindwa kuwaoa wanawake waliowapenda kwa dhati, mfano ebu chukulia ni wewe umekuwa na mahusiano na binti wa watu wa Kichaga tangu upo form five amekusuport amekuwa muaminifu miaka yote mpaka leo hii umepata degree yako na kazi yako nzuri sasa inaanza hoja ya kuuliwa na huyo binti wakati miaka yote wanajua mkigegedana na dada zako walikuwa wakimuita wifi.
Mbaya zaidi ni pale katika mahusiano yenu pengine ya miaka mitano sita tangu miaka kadhaa yaliyopitia stages mbalimbali nafsi imeamua huyo ndiyo awe mke wako ata kama ni Mchaga , Mzaramu,Mmasai n.k.
Jamani Wakuu nisiwachoshe ninajua kuna watu wenye busara humu na experience mbali mbali nini cha kufanya ndugu zako wa karibu wanapokwambia ukioa huyu binti wa Ki....... hatupo pamoja nawe na ishi kivyako vyako, wakati mwingine pamoja na kuwashawishi mara kadhaa wanakwambia hatutaki uchinjwe na ukweli ata kama una pesa kuishi kama umedondoshwa bila ndugu ni ngumu.
Nawasilisha kwa mjadala ambao nina imani utatusaidia wengi