Wazazi Wanaolalamika Wamefeli?

Alitumwa kuzaa, yy ndiye anachangia huyo kiumbe kupata tabu hapa duniani ..Mnaishi kwa ujinga , usawa huu unajipa mamlaka ya kuzaa mpaka watoto wanne .

Baadaye, pesa zote zinaishia kuhudumia watoto huku ukiwa na matarajio lukuki .
Mzee pia mmekariri vibaya hata mzazi pia sio wajibu wake kukulea maana wewe mwenyew ni shobo zako kukimbilia yai tumboni kwa mama ako wakati wenzako walikuwa wengi tu we ukaleta ujuaji na speed zisizo na maana


Halafu pia hata yeye inabidi akulete duniani halafu kila mtu apambane kivyake tuone kama usingelalamika kutokukulea

Ukiulizwa kisa nini ety kakukazaa ila wewe ukiulizwa mbona humjali si mzazi wako unasema hapana sio jukumu lako kumjali
 

Upo sahihi kabisa.
Hasa kwa wanaume wengi ambao hawana uwezo wa kusuka mfumo Bora na wenye nguvu katika Familia zao.

Yaani kama hujui kusuka mfumo ni bora uwe mbinafsi
 
Siku moja binti yangu wa pili aliniomba pesa, nikampa kidogo, akalalamika, nikamuonyesha bill nilizonazo! Alichoniambia sijakisahau mpaka leo!!!
" Aliniambia, Baba hayo ni majukumu yako, pambana", Kweli nikaongeza bidii ya kupambana.

Huko tunakoenda kitaibuka kizazi korofi Sana ambacho mtu kabla hajazaa impasa afikirie mara tatutatu
 


Sasa si ungemtupa chooni au kumuua kama sio wajibu wako?
 
MBONA LEO TUMEANZA KUSEMANA SEMANA ASUBUHI SANA BWASHEE, USALAMA UPO KWELI AU NYUMBANI WAMEKUNYIMA HELA YA MIHOGO ?
 
Ni wajibu wa mzazi kulea watoto anaowaza, tena kuwalea katika mazingira bora kabisa. Ndio maana zamani ilikuwa mzazi usipomplekea mtoto shule unakuja kukamatwa na mgambo.
 
NAUNGA MKONO HOJA ZOTE
 
Maisha kusaidiana bhana


Kama kakupambania kuna umuhimu wa kumpambania na yeye

Kuna wengine wamezaliwa wakatelekezwa mpaka Leo hawana mbele wa nyuma vipi wewe uliyekuzwa na wazazi wako
WAZAZI KUHUDUMIA WATOTO NI KAMA SERIKALI KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI WAKE. NI WAJIBU WA MZAZI KUHUDUMIA WATOTO WAKE. KUHUDUMIA SIO FAVOUR KWA MTOTO/WATOTO.
 
Ni wajibu wa mzazi kulea watoto anaowaza, tena kuwalea katika mazingira bora kabisa. Ndio maana zamani ilikuwa mzazi usipomplekea mtoto shule unakuja kukamatwa na mgambo.
Unakamatwa ikiwa unawalea ila wangap wanakataa kuwalea kabisa na hakuna sehemu wanapofikishwa

tatizo tunalazimisha wazazi wawe na mzigo wa Kujali watoto peke Yao huku watoto wakiwa hawana tatizo lolote ikiwa hawatowajal wazazi wao
 
WAZAZI KUHUDUMIA WATOTO NI KAMA SERIKALI KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI WAKE. NI WAJIBU WA MZAZI KUHUDUMIA WATOTO WAKE. KUHUDUMIA SIO FAVOUR KWA MTOTO/WATOTO.
Sawa sikatai lakini mzazi hashindwi kumtelekeza huyo mtoto na kufanya mambo yake na kula starehe zake kama mtoto anavyotaka akijipata kimaisha asishobokewe na mzazi wake
 
UMEANDIKA UTUMBO MTUPU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…