Wazazi wanajuaje mabinti bikra?

Wazazi wanajuaje mabinti bikra?

Naskia zamani binti akitaka kuolewa alikua anachunguliwa na ndugu zake hasa mashangazi ili kujihakikishia kama ni bk ama lah na ilikua inasaidia wakati wa kutolewa mahari kama uko vzr bk yani ndugu wanapata nguvu ya kudai mahari kubwa no negotiations,ila kama siyo bk utazomewa na mama yako atafedheheshwa kwamba hakukulea vzr. And mode of ukaguzi wa bk ilikua ni kuvua nguo na kutanua miguu ili kucheki sehemu kama iko tight au imeachia,ukikutwa imeachia utachezea kifinyo wewee na masimango juu. Yawezekana ndivo alivofanyiwa mkeo
Siku hizi unapimwa ukimwi..
 
Eeeh unaongea na mama yako mambo ya bikra. Aisee
Inaonekana mazungumzo yao yalikuwa hivi...

Mama: Mwanangu nilipambana usije kuoa mwanamke changudoa. Utamu wa bikra uliusikieje?

Mtoto: Kuna ka usumbufu kidogo Mama, ila utamu wake sio wa nchi hii.
 
Inaonekana mazungumzo yao yalikuwa hivi...

Mama: Mwanangu nilipambana usije kuoa mwanamke changudoa. Utamu wa bikra uliusikieje?

Mtoto: Kuna ka usumbufu kidogo Mama, ila utamu wake sio wa nchi hii.
😂😂😂 aisee.....

Hizi familia zetu kweli tunaishi tofauti
 
  • Thanks
Reactions: K M
Mkeo kweli nyie mna urafiki au? Inakuwaje umeshindwa kumuuliza yeye!!!
 
Unajua Dr anakaguaje njia ya mtoto kama anaweza pita?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom