financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,523
Eti,hawataki kijana wao apate vitu used[emoji3] , Ila ilikua inasaidia mabinti kujitunza maana utapata aibuWazazi nao wananongwa..Sasa bikra au kopo la mchumba wangu linawahusu nn??
Eti,hawataki kijana wao apate vitu used[emoji3] , Ila ilikua inasaidia mabinti kujitunza maana utapata aibuWazazi nao wananongwa..Sasa bikra au kopo la mchumba wangu linawahusu nn??
Hatari na tatizo ni ukuaji pia unaanza mapema siku hizi binti yupo std 5,6 kashabalehe na mihemko inaanza[emoji22]Sikuhzi bikra mnang'olewa kabla hata hamjafika F1
Twa kukaya mundu wa kyalaHahaa, wahuni siyo watu wazuri Baba Swalehe, acha tuuu
Tununu fijooo, twa jpili baba ake Swalehe?Twa kukaya mundu wa kyala
TununuTununu fijooo, twa jpili baba ake Swalehe?
Hakuna seal . ?Kwelii na bora hiyo system ilishajifia maana sijui ingekuaje, ningekimbia huo ukaguzi hahaaa
Kwani Leo mkuu, au unanitafuta maneno tu[emoji3] [emoji3]Hakuna seal . ?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Naskia zamani binti akitaka kuolewa alikua anachunguliwa na ndugu zake hasa mashangazi ili kujihakikishia kama ni bk ama lah na ilikua inasaidia wakati wa kutolewa mahari kama uko vzr bk yani ndugu wanapata nguvu ya kudai mahari kubwa no negotiations,ila kama siyo bk utazomewa na mama yako atafedheheshwa kwamba hakukulea vzr. And mode of ukaguzi wa bk ilikua ni kuvua nguo na kutanua miguu ili kucheki sehemu kama iko tight au imeachia,ukikutwa imeachia utachezea kifinyo wewee na masimango juu. Yawezekana ndivo alivofanyiwa mkeo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848]Tununu
Nlkitafuta mchumba mwa mwitu
Imbombo ili ngafu , wakulonda ishekeli haan ipesa
Hivi nimepatia , mi hapo ekuomba maji ya kunywa au! ?! [emoji28]
Umeshtuka beberu vpi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848]
Si unajua mi Beberu Mwitu so ukitaja mwitu ni kama umetaja nyumbani kwangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Umeshtuka beberu vpi
Umeona kondoo
Beberu la porini mambo![emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Dah, umejitahidi kueleweka japo siyo sana[emoji3] ,wachumba wanataka pesa eeh, ndyo upige Kazi zaidi upate pesa ufaidi acha uogaaTununu
Nlkitafuta mchumba mwa mwitu
Imbombo ili ngafu , wakulonda ishekeli haan ipesa
Hivi nimepatia , mi hapo ekuomba maji ya kunywa au! ?! [emoji28]
Poa[emoji16][emoji16] tukutane kule bana hapa noma, naogopa kaka zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Beberu la porini mambo!
Vp sasa nikikupeleka ww kwa mamaNaskia zamani binti akitaka kuolewa alikua anachunguliwa na ndugu zake hasa mashangazi ili kujihakikishia kama ni bk ama lah na ilikua inasaidia wakati wa kutolewa mahari kama uko vzr bk yani ndugu wanapata nguvu ya kudai mahari kubwa no negotiations,ila kama siyo bk utazomewa na mama yako atafedheheshwa kwamba hakukulea vzr. And mode of ukaguzi wa bk ilikua ni kuvua nguo na kutanua miguu ili kucheki sehemu kama iko tight au imeachia,ukikutwa imeachia utachezea kifinyo wewee na masimango juu. Yawezekana ndivo alivofanyiwa mkeo
Hahaaa, utapata kitakachokuwepo mkuu,haviishi kabisa, muhimu kuridhika tu. Vipi tunaenda lini sasa ama unanichora tuu[emoji3] [emoji3]Vp sasa nikikupeleka ww kwa mama
Ntapata kitu gan[emoji847][emoji847]
Unakuajee wanaJF
Kwa kwel nimekuwa nikiambiwa na wazee wangu kwamba ukipata Mwanamke wa kuoa mpeleke kwa Mama yako naye mama yangu ataita wanawake wenzake basi watakwambia kwamba huyo binti n bikra au la.... Kwa kwel nilifanya hvyo na nlipompata mwanamke mmoja ambae sasa n Mke wangu nilimpelekaa kwa mama yangu naye mama akawaitaa wanawake wenzake wakaaa na huyo Mke wangu kabla hatujaoaa wakiongeaa mambo mawili matatu hvi kwa muda wa siku nzima tukapikiwa na kula vzur baada ya kuondoka tu.. Mama yangu alinipgia simu akisemaa huyo binti n mzur sana ana heshima na adabu anafaaa kuwa Mke wako lakin pia ni Bikra.ni kwel kabsa mim tangu nkutane na huyo binti sikuwah kukutana nae kimwili mpka pale alipoharalishwa na aliniambia kabsa yeye n bikra na kwel kabsaa siku ya honey moon nkamtoaa Mke wangu bikra.. swali langu huyo mama yangu alijuajee huyu binti km n bikra maana leo nlikuwa napga story mama yangu akanikumbushaa haya maneno nkachekaa sana
Hapana.Kwani Leo mkuu, au unanitafuta maneno tu[emoji3] [emoji3]