Wazazi wanahitaji 2M kama fidia

Wazazi wanahitaji 2M kama fidia

Kijana mmoja hapa mtaani kwetu mwenye umri wa miaka 17 amejikuta katika wakati mgumu kwa kutakiwa kulipa milioni mbili kama faini ya kumtoa bikira binti wa watu anayesoma kidato cha kwanza. Inasemekana wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu ila hivi juzi mama yake binti aliamua kuwafuatilia baada ya binti kutoweka nyumbani usiku wa manane na baadae kumkuta na kijana wakiwa kwenye staili ya kimahaba. Binti alikiri kutembea na kijana na vipimo vilionyesha hajapewa ujauzito. Baada ya hapo kikao cha familia kilikaa na kudai milioni mbili kama faini ya binti yao kuondolewa bikira. Source ni mimi mwenyewe niliona.

Wazazi wa mvulana wakafungue kesi ya pingamizi mahakamani
 
wazazi wanataka mkwe sema wanajizungulusha, staki kuamini wanaume washakua bidhaa adimu

hamna cha kuhitaji mkwe hapo asee!!!
kama bikra tu na bado atakuwa nyumbani ni m2, akiolewa sasa?
 
toka lini mapolisi wakageuka kuwa hakimu?

toka lini kesi ya kumzorotesha mwanafunzi kimasomo ikamfunga mtu 30 years?

mkuu hapo hamna kesi ,labda kama wana obvious ushahidi kwakweli ,na zaidi hata huyo kijana naye ni minor ana miaka 17 (under 18)

hiyo ni kutishiwa nyau tu.

Mkuu tembelea mahakama uone kama hujakutana na kesi za namna hiyo.
Wewe kazania tu eti "he is a minor"
 
Mkuu tembelea mahakama uone kama hujakutana na kesi za namna hiyo.
Wewe kazania tu eti "he is a minor"

aksante.
mkuu ila naomba kuuliza ,kwa maana haya mambo ya sheria mimi napenda sana kujifunza na ukichukulia siyo fani yangu niliyosomea zaidi naunga unga tu.......je ,ushahidi beyond resonable doubts unakuwepogi na hukumu ikatoka dogo amekula 30 years gerezani?
 
wazazi wanataka mkwe sema wanajizungulusha, staki kuamini wanaume washakua bidhaa adimu


ha ha ha ha ha ha! Suprise tumekuwa adimu wewe.....

having sex with child ni kubaka , miaka 30 inamuhusu


hivi hata huyo mvulana naye kisheria si ni mtoto(ana miaka 17?) ,hapo wanamuonea tu dogo ,utakuta hako kasichana kalisha/kanararuliwa na mabazazi yenye umri wa kama baba yake sema tu wazazi wake wanataka kujenga heshima hapo mtaani kupitia dogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom