Wazazi wanahitaji 2M kama fidia

Wazazi wanahitaji 2M kama fidia

Kijana mmoja hapa mtaani kwetu mwenye umri wa miaka 17 amejikuta katika wakati mgumu kwa kutakiwa kulipa milioni mbili kama faini ya kumtoa bikira binti wa watu anayesoma kidato cha kwanza. Inasemekana wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu ila hivi juzi mama yake binti aliamua kuwafuatilia baada ya binti kutoweka nyumbani usiku wa manane na baadae kumkuta na kijana wakiwa kwenye staili ya kimahaba. Binti alikiri kutembea na kijana na vipimo vilionyesha hajapewa ujauzito. Baada ya hapo kikao cha familia kilikaa na kudai milioni mbili kama faini ya binti yao kuondolewa bikira. Source ni mimi mwenyewe niliona.
hakuna fundisho lolote lile hapo...huwezi toa fine kwasababu ya kuto mtu bikira..kwani hiyo bikra ni ya wazazi ama..bora angekua amezalishwa au amejazwa mimba ndo wangedai so wewe umekurupuka na hamna point ya msingi...
 
kesi kama hizo nazo ushahidi unakuwaga mgumu sana.....kama anauwezo alipe ,kama hana aombe apunguziwe kulingana na uwezo wake otherwise mimi sijaona ushahidi hapo wa kumtia hatiani mtu haapo
Polisi walimtishia sana kuwa lazima alambe miaka 30 kwa kosa la kudate na mwanafunzi mbaya zaidi kesi iliyofunguliwa ni kumzorotesha mwanafunzi kimasomo baada ya kuona hivyo wakaomba wayazungumze nyumbani.
 
Wakiwa na mabinti 5, kwa mwendo huo lazima wajenge!!!!!

kuna cha kujenga hapo ,maisha mipango na hao wanaofanya mabinti yao vitega uchumi wameishiwa na options za kujikwamua kimaisha ,hamna akili ya kujenga hapo.

Hao wazazi wametangaza dhiki zao hadharani!!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

yaani wamejidhalilisha hapo mtaani ,itakuwa vijana wanajitayarisha tu kwa M2 kuwaharibia mabinti zao
 
Polisi walimtishia sana kuwa lazima alambe miaka 30 kwa kosa la kudate na mwanafunzi mbaya zaidi kesi iliyofunguliwa ni kumzorotesha mwanafunzi kimasomo baada ya kuona hivyo wakaomba wayazungumze nyumbani.

toka lini mapolisi wakageuka kuwa hakimu?

toka lini kesi ya kumzorotesha mwanafunzi kimasomo ikamfunga mtu 30 years?

mkuu hapo hamna kesi ,labda kama wana obvious ushahidi kwakweli ,na zaidi hata huyo kijana naye ni minor ana miaka 17 (under 18)

hiyo ni kutishiwa nyau tu.
 
hiyo bikra mbona bei ghali hivo?
Evelyn Salt yako uliuza shing ngapi Bibie?

Bahati mbaya Bazazi hajui bei ya BIKRA kwani hajawahi kununua wala kukopeshwa;
Bazazi kazi yake ni kugegeda maguberi na vibiriti ngoma.

Hakuna usumbufu wa kutafuatana usiku na kudaiana gharama za kurudisha Bikra za Kichina.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:

Si bora hata ningeiuza nikala faida!!!
aah baiskeli iliniharibu.
 
Kama hajabakwa mtu hakuna kesi wala fidia hapo...
 
hakuna fundisho lolote lile hapo...huwezi toa fine kwasababu ya kuto mtu bikira..kwani hiyo bikra ni ya wazazi ama..bora angekua amezalishwa au amejazwa mimba ndo wangedai so wewe umekurupuka na hamna point ya msingi...
Sijakurupuka ni mambo ambayo nimeona kwa macho yangu.
 
Huyo kijna wamemwonea, mbona huku tunakata burebure tu, tena na nyingine kuombewa ukate.
 
Polisi walimtishia sana kuwa lazima alambe miaka 30 kwa kosa la kudate na mwanafunzi mbaya zaidi kesi iliyofunguliwa ni kumzorotesha mwanafunzi kimasomo baada ya kuona hivyo wakaomba wayazungumze nyumbani.

kwanza wote ni under 18, na inawezekana wametoana bikira so wote walipane
 
Hao wazazi wametangaza dhiki zao hadharani!!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mambo ya Tanga Hayo,Bikra ni Bonge la Mtaji.Mbele hapana nyuma hewala.
Sent from my Black simu ya rununu
 
Back
Top Bottom