Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Necta ni taasisi iliyowekwa na watu, na watu ndo sisi, alete vyeti!Wewe ni NECTA??
Necta ni taasisi iliyowekwa na watu, na watu ndo sisi, alete vyeti!Wewe ni NECTA??
Yupo Kolomije Mkuu usipate shidaMkuu uko nchi gani? Hii ya tangu 2016
Wewe nani uhakiki vyeti vya RC?Bashite huchomoki, Tunanataka vyeti vyako tukuhakiki
Vyeti amekataa kutoa. Je hakuna njia mbadala ya kumlazimisha kutoa vyetiNamshauri Daud A Bashite aka Makonda, alete vyeti, sijawahi kuona dunian mzazi ana muharibia mwanaye ambaye anatengeneza hela.
Na hao Clouds wana enda hata kukutana na wazazi wana shindwa vipi kuomba vyeti. Pmbavvvv
Ushahidi uko wapiTatizo ni Ku forge vyeti kuwa mzee wa kanisa hakukufanyi uwe mtakatifu.
Ushahidi plzzzwewe kilaza kweli,jina makonda limefojiwa ktoka kwenye Paul.M,kwahyo hiki n la kupachika,zeroo yaaan,fafa,zerooooo yaaan
Amekataa kuweka hadharaniAcha ubwege .....Aweke utetezi wa vyeti hadharani usijifanye hujaelewa.
Itaishaje wakati watu wanazidi kukamatwa nchi nzima na kamishna yupoIshi ya unga tz haitakaa iishe maana naona inasahaulishwa kimya kimya na vyeti vya makonda
Umekosa radio ya kusikiliza mpaka unafungua radio cloudsNamshauri Daud A Bashite aka Makonda, alete vyeti, sijawahi kuona dunian mzazi ana muharibia mwanaye ambaye anatengeneza hela.
Na hao Clouds wana enda hata kukutana na wazazi wana shindwa vipi kuomba vyeti. Pmbavvvv
Kala maharage yaliyochacha huyo yameenda kugeuka pombe yalivyofika tumboni ndio maana kalewa hapoMkuu uko nchi gani? Hii ya tangu 2016
ahaaaa angazimiaSijui angeambiwa alete cha ukimwi ingekuwaje?