Wazazi wa Daud A. Bashite (Makonda) wajitokeza

wakihojiwa na Zamaradi
sasa sijui huyo Mtume Gwajima na wenzake waliwafikia lini hao kina Daud Albert Bashite au walioteshwa ?
Mzee Makonda ni Mzee wa Kanisa huko kwao kwa kina Gwajima na akina ngosha sasa hapa tatizo ni nini Ukuu wa Mkoa au UNGA? maana jiwe limerushwa gizani na Mkuu wa Mkoa alisema kabisa sasa subirini matokea baada ya kutaja majina tu
VITA vita vita kila kona na ukimwaga maji kwenye mashimo yae atoka hata na yasiyo .......

Ha ha ha ndo umetumwa uje kupotosha watu?
Hiyo kitu ya longtime, na imetumika sana kuwapiga watu humu..mama kufika elimu ya kidato cha nne kapoteza kumbukumbu..
Hivi jamani kuna RC hapa Tz aliyekwisha warusha wazazi wake hewani?
Hizi media coverage na kujipost kama yule "Mrs D" alivofanya ndo kunaleta shida.
Watu kama wewe ndo mnafutia jamaa viutetezi vyake hata kabla hajafungua mdomo.
 
naona nimeingia choo cha kina Mmawia
msichokielewa ni nini hapo?
tunamzungumzia mtu anaitwa Daud Albert Bashite mmedai alisomea vyeti vya Paul Makonda
  1. hao Wazazi ni wa nani?
  2. huko MICcoBs katambulika akiwa Waziri Mkuu Makonda
  3. Wazazi wanamuita mtoto wao Paul Makonda
ninyi mnazungumzia kufoji vyeti INAWAHUSU NINI
wakati ukuu wa Mkoa HATATUMBULIWA
p,se acheni matusi na ulevi wa unga JF isijeonekana ina machoko km mnavyojibu km UKAWA waliotumwa
jibuni hoja muache kujifanya mapunga
Vyeti vyake lazima tuhoji kama RAIA wema maana kuna sheria kabisa kuhusu Ku forge kwani yeye ni nani Mpaka asisemwe wakati wenzake wameacha kazi na kufungwa.
Hafu kupovuka hakuwezi Ku change zero za Bashite Mara wala unga sijui nini zero ni zero tu.
 
Mwaka huu makonda atamaliza dini zote ili aombewe bado hindus sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wakihojiwa na Zamaradi
sasa sijui huyo Mtume Gwajima na wenzake waliwafikia lini hao kina Daud Albert Bashite au walioteshwa ?
Mzee Makonda ni Mzee wa Kanisa huko kwao kwa kina Gwajima na akina ngosha sasa hapa tatizo ni nini Ukuu wa Mkoa au UNGA? maana jiwe limerushwa gizani na Mkuu wa Mkoa alisema kabisa sasa subirini matokea baada ya kutaja majina tu
VITA vita vita kila kona na ukimwaga maji kwenye mashimo yae atoka hata na yasiyo .......

Mungu awe naye mkuu wa Mkoa MH: Paul Makonda, nimeamini aliyo yasema.
 
Ukwaju mbona hii ni mwaka 2016? Mwambie Makonda aje clean sasa.

Tuna ushahidi 100% kuwa alifoji vyeti! Sisi wananchi ndio waaajiri wakuu wa Bwana BASHITE.

Sema MAGUFULI ambaye ndio anatakiwa kumuwajibisha, ameghafilika! UCHAMA umemzidi maarifa!
 
naona nimeingia choo cha kina Mmawia
msichokielewa ni nini hapo?
tunamzungumzia mtu anaitwa Daud Albert Bashite mmedai alisomea vyeti vya Paul Makonda
  1. hao Wazazi ni wa nani?
  2. huko MICcoBs katambulika akiwa Waziri Mkuu Makonda
  3. Wazazi wanamuita mtoto wao Paul Makonda
ninyi mnazungumzia kufoji vyeti INAWAHUSU NINI
wakati ukuu wa Mkoa HATATUMBULIWA
p,se acheni matusi na ulevi wa unga JF isijeonekana ina machoko km mnavyojibu km UKAWA waliotumwa
jibuni hoja muache kujifanya mapunga

Afu we nae kavu kweli, usichoelewa nini sasa? Kinachohitajika ni uwajibikaji kwa kiongozi kama yeye kupata tu kashfa inatakiwa iwe sababu tosha kujiwajibisha. Mtu kanunua cheti cha mtu mwingine kusomea certificate na diploma. Hilo jina la makonda aliapa mahakamani kuondoa jina la muhusika wa cheti aliyeitwa Muyenge. Kama yeye mtoto ameweza kuwa muongo muongo ktk maisha unategemea nini kwa baba yake? Au unahisi Baba ake Makonda au Mzee Bashite (Nyoka) amemzaa Makonda (Kondoo). Nyoka huzaa Nyoka, Mzee MUONGO huzaa watoto WAONGO.
 
Namshauri Daud A Bashite aka Makonda, alete vyeti, sijawahi kuona dunian mzazi ana muharibia mwanaye ambaye anatengeneza hela.
Na hao Clouds wana enda hata kukutana na wazazi wana shindwa vipi kuomba vyeti. Pmbavvvv
Clouds ndio kimbilio la Bashite kila jambo linapo mchachia
 
wakihojiwa na Zamaradi
sasa sijui huyo Mtume Gwajima na wenzake waliwafikia lini hao kina Daud Albert Bashite au walioteshwa ?
Mzee Makonda ni Mzee wa Kanisa huko kwao kwa kina Gwajima na akina ngosha sasa hapa tatizo ni nini Ukuu wa Mkoa au UNGA? maana jiwe limerushwa gizani na Mkuu wa Mkoa alisema kabisa sasa subirini matokea baada ya kutaja majina tu
VITA vita vita kila kona na ukimwaga maji kwenye mashimo yae atoka hata na yasiyo .......

ae502210857cbb8c0e4858a2e7926578.jpg

33b4405d8f09f1a4f6dd2e706479226e.jpg

d64b848dd1276f62c8b0bd1e49f3ca71.jpg

Upo SAHIHI MKUU.
 
Hili tangazo vepeee!!?
Tulitendee haki basii watanzania wazalendo
 
Attachments

  • IMG-20170227-WA0048.jpg
    IMG-20170227-WA0048.jpg
    36.1 KB · Views: 34

wakihojiwa na Zamaradi
sasa sijui huyo Mtume Gwajima na wenzake waliwafikia lini hao kina Daud Albert Bashite au walioteshwa ?
Mzee Makonda ni Mzee wa Kanisa huko kwao kwa kina Gwajima na akina ngosha sasa hapa tatizo ni nini Ukuu wa Mkoa au UNGA? maana jiwe limerushwa gizani na Mkuu wa Mkoa alisema kabisa sasa subirini matokea baada ya kutaja majina tu
VITA vita vita kila kona na ukimwaga maji kwenye mashimo yae atoka hata na yasiyo .......

Mzee vipi tena mbona maneno mengi sana?

Mwambie RC aweke vyeti.
 
Hizi akili mbovu sasa, hivi leo mm ntu aseme nilete vyeti si nitatumia dakika 5 tu? Kwann vyeti aleti??? Kuweni waelewa basi hata kidogo
Sijui angeambiwa alete cha ukimwi ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom