Wazazi tuwe makini na channel za cartoon network wanazoangalia watoto wetu

Status
Not open for further replies.
kuna movie nilikuta watoto wanaangalia Dada na mdogo wake wa kiume. sijui hata ni nini kilinambia nikae niangalie.
Nilistaajabu nilichoona. nikamuuliza Dada mtu, maana yeye ni mkubwa Kama miaka 16,na Mdogo wake wa kiume Kama miaka 10,
Nikamwambia hiyo movie mnayoangalia inawafundisha nini. kimya. Mimi niliona aibu see. je ningekuwa sipo wangeendelea mpaka wisho.
 
Bora mimi klaree akitoka tu shule anaenda kuchunga mbaleloo...

Ila na wenyewe wanapandana sasa sijui nimfiche wapi

Kila kitu kinahitaji parental guidance hasa kwa watoto wadogo... hadi bongo movie na hizi nyimbo pia sio wanasikiliza kila aina
Leo nimepita mahali nikamsikia binti anamtania mwenzie kwa kuimba" nampenda neema ana bonge la chura!" Wanakimbizana na kucheka! Na hizi radio nazo sijui ziwekwe parental lock!
 
Kwangu no bongo fleva,bongo muvi ! Ni katuni za gospel tu na za kawaida ambazo zinafundisha tu, vingine sitaki vinatuharibia watt/familia

Yaani huu ndo msimamo hutaki unaacha!
 
Leo ndio umegundua mkuu,haya ndio madhara ya kumwamini mtu akulelee watoto wako,kuna suala la catoon na kuna suala la watoro na hizi international school ,school vans watoto wananyonyana mate hatari kwenye hizi school bus zetu
 
Cartoon network channel was special made for white only and not for a black ones. ( racism )
 
naungana na wewe mkuu Shunie.
katuni karibu zote zinawaprogram akili za watoto kuwa watu wa ajabuajabu.
ni vizuri wazazi wakajua watoto wao wanaangalia nini na contents pia.
kuna moja kama nadhani ni kazi ya kampuni ya Disney watoto wanampiga mwenzao kwa sababu dini yao ni tofauti na yake. Maana yake hapo wanakomazwa kutovumiliana ktk mambo ya imani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom