Watoto wa kwanza wakaka angu na dada angu wote wa kiume niko nao tangu mwezi wa saba wameletwa kwa mjomba wao ili wanifahamu (its long-time) mimi ndo mjomba wao peke.
moja alizaliwa 2005, mgine 2006 physically wako sawa walisoma private, na kwa kweli wame faulu vizuri mkubwa alipata 1 ya 7 PCB mgine 1 ya 9 wame apply MD vyuo tofauti.
Vituko vyao jana sebuleni buibui(spider) ilingia ndani ni kamwambia mjomba toa huyu mdudu akakimbilia chumbani kuleta jambia ni kamuuliza ya nini kanijibu "uncle its very toxin" ni licheka mpaka basi sasa baya zaidi hao watoto wana enjoy cartoon channel kuliko hata music, channels zao dstv 302, 306, boomerang, cartoon network j,junior nk kuanzia asubuhi mpaka jioni, mpaka wanajua ratiba na vipindi na story za catoons zote TV ya sembuleni tume wamilikisha sie ya chumbani
Ila wako vizuri darasani sio uongo physics moja ana "B" mgine "C" na ni lazima waende varsity wazazi wao sisi uwezo wanao.
Je hao ndo watakua madakitari kusaidia wagonjwa wetu miaka mitatu injao kweli? tatizo ni elimu yetu? Wazazi ? Au watoto wenyewe? wana vituko vya ajabu kweli hao wataweza maisha ya udakitari?
Shangazi wao(wife) yeye anacheka tu hawezi kuwatuma chochote hawawezi kitu zaidi ya kutandika bedings zao tu.........jamani pateni mda kukaa na watoto wenu pesa sio kila kitu, kwa vituko hivi watoto wangu sowapeleke bweni wakiwa primary