Popo-
JF-Expert Member
- Jan 21, 2022
- 282
- 575
Wazazi na walezi wenzangu!
Kama mzazi, naomba niwashirikisne hii picha na muone kuwa ni jinsi gani baadhi ya vipindi vinahusika katika kuharibu tabia za watoto wetu/wajukuu wetu.
Ni wazi kuwa hakuna cha kukwepa hasa linapokuja swala la kipindi ambacho IMANI yetu ni kubwa kuwa kitaburudisha na kuelimisha kama siyo kutuliza akili za watoto/wajukuu zetu, ndicho nacho kimeingiliwa kwa maudhui ya KISHENZI.
Ni mhimu kuwa waangalifu hasa katika hizi channel au vipindi kwenye channel, maana kama wanaonyesha USHENZI huu...Tutawaharibu sana watoto wetu kisaikolojia n.k.
Lakini pia serikali isaidie kukagua vipindi hivi ili kabla havijarushwa basi maudhui haya yaondolewe kwanza.
Nimalizie kwa kusema:
"Kupanga ni kuchagua"
"Wa kwako ni wangu, na wangu ni wako"
"Jukumu la maadili ni la kila mtu, halina lika"
Nawatakieni heri nyote mnaopinga na kuuchukia USHETANI huu!!!