Leo nimepita mahali nikamsikia binti anamtania mwenzie kwa kuimba" nampenda neema ana bonge la chura!" Wanakimbizana na kucheka! Na hizi radio nazo sijui ziwekwe parental lock!Bora mimi klaree akitoka tu shule anaenda kuchunga mbaleloo...
Ila na wenyewe wanapandana sasa sijui nimfiche wapi
Kila kitu kinahitaji parental guidance hasa kwa watoto wadogo... hadi bongo movie na hizi nyimbo pia sio wanasikiliza kila aina
na nani?! Maana nimeacha muda kumtazama.siku hizi jery anagegedwa balaaa
Mtoto wa mbuzmbaleloo ni ninii
mbaleloo ni ninii
Mwe mbombooo...!Ata leo BBC wamesema spiderman cartoon itakua ya wapenzi wa jinsia moja. Tuwe makini.